Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

Ucfanye hilo fumanizi utadhalilika mpige chenga mmeo kwa maneno matamu
 
maniner kwa hiyo mnafanya ibada huku unazini duh ..... mumeo ni wa ndoa au mlibebana?
 
Bwana awe nanyi,

Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent.

Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana juu ya hilo, ingawa sikumshika live ila ni wazi kwamba alikua nae, mbali na hilo pia ni mlevi kupindukia.

Nilipoona suala hilo linaendelea nikaona isiwe tabu, nikatafuta suluhisho.

Na mimi nikatafuta mtu pembeni aniliwaze, kuna dereva tax huwa tunamtumia sana kwa shughuli za kifamilia,
Nikaamua kumzawadia penzi huyo jamaa, sio kwamba nilimuanza mimi, bali alikua akinisumbua siku nyingi, hivyo nikaona nimkubali.

Katika mara zote nilizokutana nae (6) niligundua kwamba hajiwezi kabisa, nikaona this relationship is not worth it, nikampiga chini, pia mtu mwenyewe hana hata Chumba cha kulala, Mara zote anaazima Chumba kwa mwenzie, ingawa ukimuona kwa nje ubrazamen alionao huwezi amini, ni type ya wale wanaume wenye kuongea sana na mbwembwe nyingi lakini hamna lolote.

Nikakata mawasiliano nae na kumwambia asinitafute tena, akaanza kunililia nisimwache, anapiga simu muda wote kunibembeleza, kila akiniona hata na watu wengine Mtaani, labda Dukani n.k atakimbia haraka kuja na kuomba tuongee pembeni hadi kero.

Hivi karibuni nimepata mtu mwingine mahali nakoabudu, he is so caring, ni mtu mwenye Upendo sana, hanywi pombe na ananipenda kwa dhati, he is god fearing and above all his performance is much better than my husband and the tax driver's.

Juzi kumetokea shida kubwa baada ya Mr kushika sms ya yule tax driver akiendelea kunibembeleza, Nikalazimika kusema kuwa jamaa ndio ananifuatilia, ananitaka kimapenzi, akasema kama ni kweli na ili aniamini Basi tufanye fumanizi la kutengeneza, kwamba nikubaliane na yule kijana wa tax kwenda nae guest na yeye aje atufumanie na kundi la mabaunsa wamwoe wote.

Nikikataa mpango huo basi atajua nilishatembea nae, na mimi najua yule tax driver kwa vyovyote vile atauvaa huo mtego, namuonea huruma sitaki apate aibu hiyo wakati tulishaachana nae.

Nipo njia panda naombeni ushauri nifanyeje?

acha uzinzi dada yangu,heshimu ndoa yako
 
Hivi ka caring, ni mtu mwenye Upendo sana, hanywi pombe na ananipenda kwa dhati, he is god fearing and above all his performance is much better than my husband and the tax driver's.

Nikikataa mpango huo basi atajua nilishatembea nae, na mimi najua yule tax driver kwa vyovyote vile atauvaa huo mtego, namuonea huruma sitaki apate aibu hiyo wakati tulishaachana nae.

Nipo njia panda naombeni ushauri nifanyeje?

Kwahiyo angekuwa anajiweza ingekuwa worth it? "Women!!!"
 
Mwanamke bora atembee na ombaomba kuliko 1.dereva taxi 2.dereva bodaboda 3.meneja wa bar/gesti..
 
mwambie ukweli mumeo atakusamehe na utakuwa umemuokoa dereva taxi pia usisahau kuacha uzinzi na unayemuita "GOD FEARING"
 
Bwana awe nanyi,

Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent.

Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana juu ya hilo, ingawa sikumshika live ila ni wazi kwamba alikua nae, mbali na hilo pia ni mlevi kupindukia.

Nilipoona suala hilo linaendelea nikaona isiwe tabu, nikatafuta suluhisho.

Na mimi nikatafuta mtu pembeni aniliwaze, kuna dereva tax huwa tunamtumia sana kwa shughuli za kifamilia,
Nikaamua kumzawadia penzi huyo jamaa, sio kwamba nilimuanza mimi, bali alikua akinisumbua siku nyingi, hivyo nikaona nimkubali.

Katika mara zote nilizokutana nae (6) niligundua kwamba hajiwezi kabisa, nikaona this relationship is not worth it, nikampiga chini, pia mtu mwenyewe hana hata Chumba cha kulala, Mara zote anaazima Chumba kwa mwenzie, ingawa ukimuona kwa nje ubrazamen alionao huwezi amini, ni type ya wale wanaume wenye kuongea sana na mbwembwe nyingi lakini hamna lolote.

Nikakata mawasiliano nae na kumwambia asinitafute tena, akaanza kunililia nisimwache, anapiga simu muda wote kunibembeleza, kila akiniona hata na watu wengine Mtaani, labda Dukani n.k atakimbia haraka kuja na kuomba tuongee pembeni hadi kero.

Hivi karibuni nimepata mtu mwingine mahali nakoabudu, he is so caring, ni mtu mwenye Upendo sana, hanywi pombe na ananipenda kwa dhati, he is god fearing and above all his performance is much better than my husband and the tax driver's.

Juzi kumetokea shida kubwa baada ya Mr kushika sms ya yule tax driver akiendelea kunibembeleza, Nikalazimika kusema kuwa jamaa ndio ananifuatilia, ananitaka kimapenzi, akasema kama ni kweli na ili aniamini Basi tufanye fumanizi la kutengeneza, kwamba nikubaliane na yule kijana wa tax kwenda nae guest na yeye aje atufumanie na kundi la mabaunsa wamwoe wote.

Nikikataa mpango huo basi atajua nilishatembea nae, na mimi najua yule tax driver kwa vyovyote vile atauvaa huo mtego, namuonea huruma sitaki apate aibu hiyo wakati tulishaachana nae.

Nipo njia panda naombeni ushauri nifanyeje?

He is god fearing halafu anatembea na mke wa mtu. Tena mtu ambaye mnaabudu pamoja? Mnaabudu mungu yupi?
 
You are coward, firauni mkubwa, mshenzi wa washenzi, tapeli la mapenzi, fisi Maji, mbulu kenge, ---------
 
Dada achana na hao watu wote ulionao na ubaki na mmeo tu tubu kwa Mungu wako na usikubali kuwa ulitembea na dereva wa taxi labda ashike ushaidi wa asilimia 100 kuwa ulitembea nae. Nachotabiria kitakachotokea kwenye ndoa yako

1. Mumeo atagundua uhusiano wako na dereva
2. Atagundua uhusiano wako na mtu wako "god fearing person"
3. Utafukuzwa kurudi kwenu
4. Mtasuluhishwa kwa ndugu wa pande zote mbili za familia
5. Utajuta kuwa na uhusiano nje ya ndoa na hao wanaume wote watakukimbia
6. Jamaa atakusamehe mbele za watu waliowapatanisha lakini moyoni hatakusamehe
7. Utaishi maisha mabaya sana mpk utakuwa unapigwa kila mara hata kwa kosa dogo
8. Mmeo atazidisha kunywa pombe zaidi ya anavyokunywa sasa
9. Hutakuwa na amani wala kuaminiwa ktk ndoa yako
10. Mmeo atakunyanyasa mpk kifo kitapowatenganisha ndio utapata furaha ya maisha tena
 
mwambie ukweli mumeo atakusamehe na utakuwa umemuokoa dereva taxi pia usisahau kuacha uzinzi na unayemuita "GOD FEARING"

Hawezi kusamehewa mpk kifo wanaume tuna kinyongo sana na hakitoki
 
''Hivi karibuni nimepata mtu mwingine mahali nakoabudu''
[/FONT

Makanisa yetu haya tunayoita ya kiroho yanatuelekeza kule kwenye moto
 
Kudadeki! kumbee enhhhh!
Kuna watu wana dhambi humu duniani, yaan aibu!
 
Back
Top Bottom