Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

Mwanamke mjinga huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Pole Sana Dada Maana Huo Ni Msiba, Na Sijui Niwapi Huko Mnakoabudu Ambapo Mtu Anaweza Kuzini Na Mke Wa Mtu Huku Bado Anaonekana Ana Mcha Mungu! Lakini Kuwakua Miungu Ipo Mingi Sihangai. Heri Roho Iliokuongoza Kuandika Huu Upuuzi Uleta Hapa Lakini Michango Ya Watu Inaweza Kukutisha Na Kuachana Na Upumbavu Unaoufanya,mi Nikuombee Tuu Mungu Mwenyezi Akuokoe Katika Msiba Huo.
 
God fearing halafu mzinzi..mpenda zinaa..kweli dunia kwisha habari yake
 
Umetisha mwanamke mwenzangu, unatazama wapi wakati wa kuyafanya yote hayo? mara driver taxi, mara jamaa wa kusali nae uwii, mwenyezi mungu niepushe mbali na mabalaa ya aiina hii, najua napita katika wakati mgumu lakini wewe ndio kimbilio langu na sio shetani, nakuomba pia muongoze na mdada huyu asiendelee na tabia hii ambayo imekatazwa katika dini zote, mnyooshe na aongoke, hakuna kisasi cha ndoa kinacholipwa kwa kutembea nje jamani aibu gani hii?
 
Shosti, Kwenye ndoa nadhani wanasema Kwa raha na kwa shida mtakua nyote,na ukiwa kama mwanamke uwe na moyo wa ustahmilivu,mwanamme ni kama mtoto vile utakavyo mlea kwa mapenzi na heshima hata akienda kwa mwengine aone tofauti baina ya mwengine na wewe,usichoke kumuomba mwenyezi mungu kwa nia safi na unyenyekevu...
 
Either way anataka akufumanie na wewe. Mpaka ukakutwa gesti na mwanaume ulikwenda kufanya nini nae? Sijawahi kuona fumanizi la mtu mmoja. Kakugundua anataka akuaibishe na wewe kisha akuteme. Hivi ndugu zenu wakisikia umekutwa gesti na mwanaume kuna atakaeelewa ni mtego ulichongwa? Akili za mbayuwayu changanya na zako!

Hii ni hoja ya msingi sana kama mleta Uzi akiisoma hii itamsaidia sana
 
Mzinzi mkubwa wewe... Mke mwema hashindan umalaya na mumewe Bali huzidisha upendo kwa mumewe huku akimtumainia bwana amteteee
 
Wewe irene naipanoi unapaswa kuwa Irene Unaipanua! Yaani unakoabudu ndo pa kwenda kufanyia uzinzi? Yaani taxi driver wa familia ndo unamzawadia tunda? Eti God fearing man, kwa nini anazini kama anamwogopa MUNGU? Labda kama ulivyoandika "god fearing"! wacha wakuchambue kama karanga! Naomba nihitimishe kwamba mama huna ndoa bali una doa!
 
...haya makanisa yanayoitwa ya kilokole sasa naona waumini wake ndio 'shida' kuliko hata yale makanisa ya zamani; R.C, lutheran.
Mnabanduana kama hsmna akili nzuri!
 
Hufai kuolewa nakushauri ukawe malaya tu mtaani.maana eti unaabudu jamani hebu angalia.....mhh
 
siku hizi watu wako open sana kuelezea uzinzi wao hadharani,hivi unadhani mmeo huu ujumbe hauoni ndoa ikikushinda si urudi nyumbani ukamsaidie mama pale nyumbani
 
We dada kweli ni kiruka njia kama siyo malaya yaani mpaka kanisani!?
Ila kiufupi hata kabla ya Ndoa ulikuwa ushazoea kupiga mechi za mchangani nyingi tu tena sana.
 
Back
Top Bottom