Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

Kosa la huyu dada ni kusema ukweli au? Tusimshambulie sana kwa kuwa wengi wetu ni dizaini hizo tena na zaidi na ndio maana kuna usemi unsema kabla ya kumnyoshea mwenzio kidole je na wewe ni msafi?
 
Siamini wewe ni mwanamke wa aina gan?? Mung ingilia kat kwa huyu mwanamke mwenye pepo la ngono! Huoni aibu kuelezea upuuzi wako humu?? Kweli mwanamke mpumbavu anavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewee. Badilika we mwanamkee utakuja juta huko mbeleee pumbavuu sana
 
Hiyo ni dhambi ya asiri inakutafuna na kamwe utaishinda ebu mwogope mungu mueshimu mumeo
 
Hilo ndilo suluhisho ulilotafuta....wewe huna ushahidi mwenzio anataka kumfanya suluhisho lako mke mwenza.... Hapo utajua mwenyewe.....
 
Kosa la huyu dada ni kusema ukweli au? Tusimshambulie sana kwa kuwa wengi wetu ni dizaini hizo tena na zaidi na ndio maana kuna usemi unsema kabla ya kumnyoshea mwenzio kidole je na wewe ni msafi?

ishu ni kutuambia anazini na God fearing man.....kwa hayo ya kutembea nje wazungu wanasema to each his/her own....
 
Duh!! Unadai kuwa uliempata ni God fearing??? Kuna mtu ambae ni God fearing ambae ni mzinzi? Dunia imeisha na imefika mwisho LOL!!
 
Mweeeeh kweli hiyo papuchi ni mali ya umma.

Kama muumini mwenzako mtamu, vunja ndoa ukaishi naye.
 
Bwana awe nanyi,

Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent.

Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana juu ya hilo, ingawa sikumshika live ila ni wazi kwamba alikua nae, mbali na hilo pia ni mlevi kupindukia.

Nilipoona suala hilo linaendelea nikaona isiwe tabu, nikatafuta suluhisho.

Na mimi nikatafuta mtu pembeni aniliwaze, kuna dereva tax huwa tunamtumia sana kwa shughuli za kifamilia,
Nikaamua kumzawadia penzi huyo jamaa, sio kwamba nilimuanza mimi, bali alikua akinisumbua siku nyingi, hivyo nikaona nimkubali.

Katika mara zote nilizokutana nae (6) niligundua kwamba hajiwezi kabisa, nikaona this relationship is not worth it, nikampiga chini, pia mtu mwenyewe hana hata Chumba cha kulala, Mara zote anaazima Chumba kwa mwenzie, ingawa ukimuona kwa nje ubrazamen alionao huwezi amini, ni type ya wale wanaume wenye kuongea sana na mbwembwe nyingi lakini hamna lolote.

Nikakata mawasiliano nae na kumwambia asinitafute tena, akaanza kunililia nisimwache, anapiga simu muda wote kunibembeleza, kila akiniona hata na watu wengine Mtaani, labda Dukani n.k atakimbia haraka kuja na kuomba tuongee pembeni hadi kero.

Hivi karibuni nimepata mtu mwingine mahali nakoabudu, he is so caring, ni mtu mwenye Upendo sana, hanywi pombe na ananipenda kwa dhati, he is god fearing and above all his performance is much better than my husband and the tax driver's.

Juzi kumetokea shida kubwa baada ya Mr kushika sms ya yule tax driver akiendelea kunibembeleza, Nikalazimika kusema kuwa jamaa ndio ananifuatilia, ananitaka kimapenzi, akasema kama ni kweli na ili aniamini Basi tufanye fumanizi la kutengeneza, kwamba nikubaliane na yule kijana wa tax kwenda nae guest na yeye aje atufumanie na kundi la mabaunsa wamwoe wote.

Nikikataa mpango huo basi atajua nilishatembea nae, na mimi najua yule tax driver kwa vyovyote vile atauvaa huo mtego, namuonea huruma sitaki apate aibu hiyo wakati tulishaachana nae.

Nipo njia panda naombeni ushauri nifanyeje?

Hayatuhusu. This is your private business. Usitushirikishe kwenye mambo yako ya uzinzi.
 
Unaweza ukapanga fumanizi ukashangaa mumeo anakugeuka na kukuita Malaya. Mwishowe ni unakuwa umejitengenezea aibu.
 
Nimekumbukaaaaaaaaaaa "Ndoa umeshaivunja mwenyewe sema zigo unamrushia tax driver..... Tangu lini chuma na chuma visisigane??????????????????
 
Bwana awe nanyi,

Nimekuja kwenu nahitaji ushauri, ni urgent.

Hapo katikati niligundua kuwa Mr wangu ana kimada, tukasumbuana na kugombana sana juu ya hilo, ingawa sikumshika live ila ni wazi kwamba alikua nae, mbali na hilo pia ni mlevi kupindukia.

Nilipoona suala hilo linaendelea nikaona isiwe tabu, nikatafuta suluhisho.

Na mimi nikatafuta mtu pembeni aniliwaze, kuna dereva tax huwa tunamtumia sana kwa shughuli za kifamilia,
Nikaamua kumzawadia penzi huyo jamaa, sio kwamba nilimuanza mimi, bali alikua akinisumbua siku nyingi, hivyo nikaona nimkubali.

Katika mara zote nilizokutana nae (6) niligundua kwamba hajiwezi kabisa, nikaona this relationship is not worth it, nikampiga chini, pia mtu mwenyewe hana hata Chumba cha kulala, Mara zote anaazima Chumba kwa mwenzie, ingawa ukimuona kwa nje ubrazamen alionao huwezi amini, ni type ya wale wanaume wenye kuongea sana na mbwembwe nyingi lakini hamna lolote.

Nikakata mawasiliano nae na kumwambia asinitafute tena, akaanza kunililia nisimwache, anapiga simu muda wote kunibembeleza, kila akiniona hata na watu wengine Mtaani, labda Dukani n.k atakimbia haraka kuja na kuomba tuongee pembeni hadi kero.

Hivi karibuni nimepata mtu mwingine mahali nakoabudu, he is so caring, ni mtu mwenye Upendo sana, hanywi pombe na ananipenda kwa dhati, he is god fearing and above all his performance is much better than my husband and the tax driver's.

Juzi kumetokea shida kubwa baada ya Mr kushika sms ya yule tax driver akiendelea kunibembeleza, Nikalazimika kusema kuwa jamaa ndio ananifuatilia, ananitaka kimapenzi, akasema kama ni kweli na ili aniamini Basi tufanye fumanizi la kutengeneza, kwamba nikubaliane na yule kijana wa tax kwenda nae guest na yeye aje atufumanie na kundi la mabaunsa wamwoe wote.

Nikikataa mpango huo basi atajua nilishatembea nae, na mimi najua yule tax driver kwa vyovyote vile atauvaa huo mtego, namuonea huruma sitaki apate aibu hiyo wakati tulishaachana nae.

Nipo njia panda naombeni ushauri nifanyeje?

ehee... Irene mambo?
Piga namba hii nikusaidie 0652700145
 
Anyways, "god" is not "God"...! Therefore "god fearing" <> "God Fearing"...!
 
Mdada hujatulia, acha kuendekeza umalaya.
 
Sehemu ya ibada ambayo inaruhusu uzinzi, labda hii itakuwa ile ya waabudu shetani.
 
Back
Top Bottom