AsanteMabasi ya Abood ifikapo mida ya jioni huwa wanakimbiza mabasi vibaya sana, maana wanajua mida hiyo hakuna matochi barabarani! Halafu mabati mengi ya mikoani Siku hizi wanakasumba ya kuwawekea abiria video Kwa sauti kubwa ili kuwazuga abiria wasistukie mwendo kasi wanaoendesha! Buyer beware!