Huyu dereva wa abood vipi?

Asante
 
Kwahio sauti ndio inakufanya usijue bus linakimbia?
 
Kwahio sauti ndio inakufanya usijue bus linakimbia?

Ndiyo, sauti kubwa Kama Gari ya wahuni wanaoenda Au kutoka Kwenye starehe/sherehe! Pamoja na kuwawekea hizo video nikasema tena Kwa sauti kubwa Lengo Lao likiwa ni kuwazuga abiria wasistukie pale basi linapokuwa likiendeshwa Kwa mwendo kasi! Nazani unaelewa maana ya Neno "kuzuga" Yani kitendo cha kumfanya Mtu ashindwe kuzingatia kufanya Au kuangalia lile la msingi na kumfanya aangalie jambo lisilo na msingi Yani ni ubabaishaji ! Umeshanisoma over ?! Kwa abiria wanajijali na kuwa makini huwa na tabia ya kumu observe dereva uendeshaji wake kuanzia mwanzo wa Safari , tena binafsi kuanzia stand wakati makata ticket huwa nauliza Gari hii dereva wake anasifa gani ya uendeshaji ? Nimeshashuhudia dereva wa basi aki overtake basi Kwenye daraja la mto wami ni wazi kuna bila abiria wenyewe kujitambua muwapo safarini na dereva akijijua leo nimebeba abiria wa aina gani mambo huenda salama!
 
Ningekuwa Kwenye ile basi ambayo dereva wake alikuwa ame overtake pale daraja la mto wame binafsi ningemshtaki Kwa kosa la jaribio la kutaka kuua abiria!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…