Huyu Dogo karudi tena...

Edoedward1

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
795
Reaction score
309
Daaah kama miaka miwili iliyopita alitoa wimbo wake nilioupenda sana, kuna watu wana vipaji,sas nimeiona wimbo wake mpya mtam pia nkaona sio mbaya kumsapot kiivi...icheck pia to see if its worthy

 
Nasri...kajitahidi ila sio kama ule wa kwanza.
 
dah huu wimbo umenikumbusha ex wangu
 
Mimi na mabongo flava mbalimbali. Mimi na dansi tu hasa rhumba na bolingo
 
Mimi na mabongo flava mbalimbali. Mimi na dansi tu hasa rhumba na bolingo
Sikiliza capital radio kuanzia jumatatu-ijumaa saa 12 jioni hadi saa 3 usiku,kuna jamaa anaitwa Twali B,anapiga ngoma hatari.no kuongeaongea.harafu jumamosi sikiliza E fm kuanzia 6 mchana,kuna dj Konny hadi saa 9,anagonga bolingo hatari haina kuongeaongea.na jumapili kuanzia saa 10 jioni sikiliza Magic fm hadi saa moja usiku,unapata pini za bolingo hatari na dj muta.haina kuongeaongea pia..harafu unamalizia na radio East africa saa 2 hadi 4 usiku na dj Makkay.ila huyu haeleweki vizuri
 
Sina adabu za kale, lakini nafikiri hizi swaga za kuwaweka wakina dada matako wazi kwenye kila video zinawaharibia kazi. Waache kuiga kila kitu bila kufikiria kwanza.
 
Asante sana. Hii ratiba ya bolingo ngoja niinakili mahali
 
Unaitwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…