Edoedward1
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 795
- 309
Daaah kama miaka miwili iliyopita alitoa wimbo wake nilioupenda sana, kuna watu wana vipaji,sas nimeiona wimbo wake mpya mtam pia nkaona sio mbaya kumsapot kiivi...icheck pia to see if its worthy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naukumbuka kidogo...ndo aliimba wimbo gani?
dah huu wimbo umenikumbusha ex wanguNaukumbuka kidogo...
[emoji444] kijiko cha kwanza ule wewe cha pili nipe mimi...ayayayaaaaa
Ukishiba wewe...nimeshiba mimi
Ayayayaaaaa
Unalia nini sasa baby?
Unalia nini sasa mamy?[emoji444]
Ulitoka 2013 nadhani,nakumbuka alituletea CD ya huu wimbo.
diversity ni nzuri sana kwenye jamii. hapa nahangaika kutafuta singeli nilizozisikia kwa kicheko.Kweli tunatofautiana,wakati natafakari pini kali za kandrick,nas,game,scarface,fat Joe,chindo man umbwa,xplastaz........mwingine anazungumzia bongo fleva
diversity ni nzuri sana kwenye jamii. hapa nahangaika kutafuta singeli nilizozisikia kwa kicheko.
Sikiliza capital radio kuanzia jumatatu-ijumaa saa 12 jioni hadi saa 3 usiku,kuna jamaa anaitwa Twali B,anapiga ngoma hatari.no kuongeaongea.harafu jumamosi sikiliza E fm kuanzia 6 mchana,kuna dj Konny hadi saa 9,anagonga bolingo hatari haina kuongeaongea.na jumapili kuanzia saa 10 jioni sikiliza Magic fm hadi saa moja usiku,unapata pini za bolingo hatari na dj muta.haina kuongeaongea pia..harafu unamalizia na radio East africa saa 2 hadi 4 usiku na dj Makkay.ila huyu haeleweki vizuriMimi na mabongo flava mbalimbali. Mimi na dansi tu hasa rhumba na bolingo
Nakusoma san kweny thread za music/wasanii.Inaonekana ni mpenz wa music kama mimiNasri...kajitahidi ila sio kama ule wa kwanza.
Mopao MokonziiiMimi na mabongo flava mbalimbali. Mimi na dansi tu hasa rhumba na bolingo
Asante sana. Hii ratiba ya bolingo ngoja niinakili mahaliSikiliza capital radio kuanzia jumatatu-ijumaa saa 12 jioni hadi saa 3 usiku,kuna jamaa anaitwa Twali B,anapiga ngoma hatari.no kuongeaongea.harafu jumamosi sikiliza E fm kuanzia 6 mchana,kuna dj Konny hadi saa 9,anagonga bolingo hatari haina kuongeaongea.na jumapili kuanzia saa 10 jioni sikiliza Magic fm hadi saa moja usiku,unapata pini za bolingo hatari na dj muta.haina kuongeaongea pia..harafu unamalizia na radio East africa saa 2 hadi 4 usiku na dj Makkay.ila huyu haeleweki vizuri
Unaitwa niniNaukumbuka kidogo...
[emoji444] kijiko cha kwanza ule wewe cha pili nipe mimi...ayayayaaaaa
Ukishiba wewe...nimeshiba mimi
Ayayayaaaaa
Unalia nini sasa baby?
Unalia nini sasa mamy?[emoji444]
Ulitoka 2013 nadhani,nakumbuka alituletea CD ya huu wimbo.
Oh yeah,asante.Unaitwa nini
diversity ni nzuri sana kwenye jamii. hapa nahangaika kutafuta singeli nilizozisikia kwa kicheko.