Huyu dogo, mtoto wa mwanamama Zari swaga zake ni noma

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Dah! Nimemchungulia huyu mtoto kwenye page yake ya IG akimuwish mdogo ake wa like, Tiffah Dangote, mtoto was star mkubwa afrika DP swaga alizotumia ukilinganisha na umri wake ni noma.... Hakika akija kuwa mtu mzima hamna demu atakayeweza kuchomoa

 
Kaandikiwa mama yake kutwa kucha Yuko bize Mara tiktok na insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…