Huyu Dr. Bana vipi?

Huyu Dr. Bana vipi?

Akizungumzia migogoro, fujo na uharibifu wa mali, Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, alisema inachochewa na kauli za baadhi ya wanasiasa na asasi za kiraia (Azaki) dhidi ya serikali.

Dk. Bana alisema kama hawatadhibitiwa itatishia umoja, usalama na udugu wa kitaifa uliojengwa na waasisi wa taifa.

Hivi huyu jamaa ni Mhadhiri wa namna gani? Mbona anayoyasemaga hayaendani na kiwango cha elimu yake (kama ni Dr. kweli)?? Au ndiyo wale wahadhiri kutwa kucha wapo kwenye mabanda ya kuku? Hawana hata muda wa kujisomea ili kujijengea upeo mpana wa kuelewa jinsi jamii inavyo hitaji mabadiliko!!!!!

Pole sana Dr, Bana, kwa kuendekeza njaa elimu yako umeamua kuitia chooni!!!!

Tatizo ni bei ya mkaa
 
Back
Top Bottom