Huyu Elia Wilinasi anastahili teuzi kwenye taasisi nyeti kwanini serikali isimchukue na kumtumia

Prof Kabudi yupo vizuri sana kwenye speech. English na kiswahili chake siku zote huwa vimenyoka.
Means nchi inahitaji wanaoongea queen's language ili tufike kule!,Mr.kabudi ni mnafiki na mwongo mkubwa,kwanza aniambie pesa yangu aliyotumia kuleta ule uchafu kutoka Madagascar πŸ‡²πŸ‡¬
Prof Kabudi yupo vizuri sana kwenye speech. English na kiswahili chake siku zote huwa vimenyoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…