Huyu Elia Wilinasi anastahili teuzi kwenye taasisi nyeti kwanini serikali isimchukue na kumtumia

Prof Kabudi yupo vizuri sana kwenye speech. English na kiswahili chake siku zote huwa vimenyoka.
Means nchi inahitaji wanaoongea queen's language ili tufike kule!,Mr.kabudi ni mnafiki na mwongo mkubwa,kwanza aniambie pesa yangu aliyotumia kuleta ule uchafu kutoka Madagascar 🇲🇬

Back
Top Bottom