PLOII
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,126
- 849
It's a Joke like but in real sense Mwamba kaonyesha ana tamaa sana.
Nawaza anataka nini huko mbona title yake ni kubwa kuliko hata Mbunge kwa level ya kiutendaji na kimaslahi pia.
Je kuna access anatafuta ya kibiashara?
Au ndio mtandao kula resources za nchi?
Naomba Chair wangu mzuie huyu kijana naona akiomba jimbo pale Kibare Uganda sio kwa tamaa hizi.