kenny mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 17, 2021 Posts 316 Reaction score 848 Jun 15, 2022 #1 Wakuu kuna demu wangu tumeachana ni pisi Kali tulidumu kwenye mahusiano kwa wiki 2. Sasa naona amezidisha kunipiga majungu status kila kukicha. Japo yeye ndio alieniacha Nimfanyaje?
Wakuu kuna demu wangu tumeachana ni pisi Kali tulidumu kwenye mahusiano kwa wiki 2. Sasa naona amezidisha kunipiga majungu status kila kukicha. Japo yeye ndio alieniacha Nimfanyaje?
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Jun 15, 2022 #2 Kwanini kuendelea ku view status zake
usatz Member Joined Sep 4, 2016 Posts 96 Reaction score 45 Jun 15, 2022 #3 kenny mtanashati said: Wakuu kuna demu wangu tumeachana ni pisi Kali tulidumu kwenye mahusiano kwa wiki 2 Sasa naona amezidisha kunipiga majungu status kila kukicha Japo yeye ndio alieniacha Nimfanyaje??? Click to expand... Kabila Gani Sent using Jamii Forums mobile app
kenny mtanashati said: Wakuu kuna demu wangu tumeachana ni pisi Kali tulidumu kwenye mahusiano kwa wiki 2 Sasa naona amezidisha kunipiga majungu status kila kukicha Japo yeye ndio alieniacha Nimfanyaje??? Click to expand... Kabila Gani Sent using Jamii Forums mobile app
Thebroker JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,334 Reaction score 5,829 Jun 15, 2022 #5 Nitumie namba yake
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 9,679 Reaction score 39,087 Jun 16, 2022 #6 Hivi mnaachanaje na mnabaki na namba za simu.
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Jun 16, 2022 #7 Kiuhalisia Uyo Hajakuacha bado,