Huyu Faiza wa Sugu ni bonge ya mwanamke sema ndio hivyo anakula bangi kama mboga

Huyu Faiza wa Sugu ni bonge ya mwanamke sema ndio hivyo anakula bangi kama mboga

Mimi walahi
Mimi ni very very attractive alafu pesa imekubaliiiiii
Yaani niko together my brother!
Namshukuru sana Mwenye Enzi Mungu kwa kunijalia walahi
Sasa mbona umefanya tangazo tena? Ungeishia hapo kwenye 'mimi walahi' [emoji23].

Au unataka PM yako ifurike maana ukitangazia vijana uzuri na pesa ni kwikwi.
 
Nadhani huyu lengo lake ni kukaa uchi kwa hiyo nguo aliovaa.
tapatalk_1544150497303.jpeg
 
Kitabia hafai kabisa ila kimuonekano ana nafuu.

Umbo lake ni zuri kuliko lile la Mange lililowekwa hapa siku kadhaa
Hii inaitwa "win - lose" situation kwa mujibu wa mkulu pale jumba jeupe[emoji23]
 
Anajifanya kapinda tu hna lolote

Ova
 
Mimi walahi
Mimi ni very very attractive alafu pesa imekubaliiiiii
Yaani niko together my brother!
Namshukuru sana Mwenye Enzi Mungu kwa kunijalia walahi
Itabidi niuone uzuri
Wako mtoto Wa kichagga
 
Kakutuma uje mpaishe hapa JF ama vipi?,...mbona wa kawaida sana
 
Saa mbovu mara chache sana uta kuta ina enda sawa 😀😀.
 
Back
Top Bottom