Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Unaujua wivu wewe???Acha wivu. Mother Confessor
Yeah ni huyo jamaa mkuu. Alikuwa anapush cocaine in major ways. Walipomkamata alikuwa na $13 million in cash na katika moja ya nyumba zake na stash houses walikamata kilo 500 za cocaine. Mind you hiyo ilikuwa 2005. Rappers karibia wote wanamfahamu na kumheshimu jamaa. Young Jeezy alikuwa mmoja wa vijana wake (mpambe) aliyetumia nafasi ya boss wake vizuri ikamtoa kimaisha.Free big Meech namjua light skinned these are rappers pay homage to him.
Yupo Jela bado
Hahaha nilijua tu utanishambulia. Ila top 1000 bongo wenye hela nimoLife linakuwa boaring if you hv everything....kuna ugonjwa unapata...niulizeni mm....lkn bwn John Stephano punguza wivu....marangapi humu umejitangaza una viela mbuzi!!?
Kuna tofauti sana ya huyu jamaa na hao ulio wataja,huyu jamaa majigambo na huu unaouita ulimbukeni ndivyo vinavyo zidi kumletea pesa.Jaribu kumfuatilia utagunduaNi ulimbukeni tuu. Mbona wenzake akina Dr dre pdiddy na jigger wako poa tangu washike hela hadi Leo. Yani aibu
Hao wote uliowataja hawamfikii Floyd kwa mkwanjaHao watu ndio asili yao mkuu. yan we umeona hio tu! watu umewahi kuona akina birdman mtu anachezea pesa zimejaa contena bloo! au mtu anamwaga kwenye sweeming pesa za kutosha, akina youngblacstar mtu anamwaga pesa chumban akizilalia haonekani blooh sembuse huyo na hizo saa zake na vidolla dollar kadhaaa [emoji1]
Mafanikio ya FLOYD MAYWEATHER yanakuuma nini? Amka upambane na wewe upate za kwako, mwanaume kulalamika kwa pesa za mwanaume mwenzako kwa pesa alizozitafuta kwa jasho lake ni ishara tosha ya upunga.Mzuqa
Yani Mayweather anakera kupita maelezo. Mimi nilishamdelete kwenye Instagram yangu sitaki upuzi. Yani ni limbukeni aliyekubuhu.
A normal sane aged person cant behave like this. This dude is stupid.
Ni kakukaombea tu kafulie hamna namna!
mng'ato baba swalehe Prince Kunta chaliifrancisco Behaviourist Lyamber Viatu vya Samaki Mr Q Zero IQ King Kong III manengelo Sky Eclat monde arabe
Ni jasho lake!! Mbona InakuumaMzuqa
Yani Mayweather anakera kupita maelezo. Mimi nilishamdelete kwenye Instagram yangu sitaki upuzi. Yani ni limbukeni aliyekubuhu.
A normal sane aged person cant behave like this. This dude is stupid.
Ni kakukaombea tu kafulie hamna namna!
mng'ato baba swalehe Prince Kunta chaliifrancisco Behaviourist Lyamber Viatu vya Samaki Mr Q Zero IQ King Kong III manengelo Sky Eclat monde arabe
Usimfananishe Floyd na Tyson.Ana saa moja worth $15,000,000 ina maanisha ni tsh billion 35! Hao wanaomwaga hela kwenye chumba au kontena zile siyo hela halisi its acting ktk song shootings videos, but for Mayweather ni hela halisi, kiukweli hata mimi ananikera watu weusi siyo watoaji sana wa charity kuliko wazungu! Akiendelea hivyo one day atakuwa kama Tyson alikuwa na kila kitu baadaye akawa just another broke black sportsman.
Humu JF wanaringia degree uchwara za Udsm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani KOSA LAKE NN?tuache WIVU...na sisi tupost NDOO ZETU Za maji,,,mbn akina CHIBU wanapost vijisent vya MADAFU mitandaoni na ,,mpo KIMYA?GET HATE or INSPIRE.... mambo kama hayo ndy yanapaswa yakupe HAMASA NA HASIRA ZA MAISHA,,,tutafute pesa wakuu,,,kama ni KUJIONA MATAWI YA JUU,,kila MTU humu ana jiona matawi kwa UPANDE WAKE...wangapi humu mkiwa kwenye VIGARI vyenu MNARUSHIA watu MATOPE na maji machafu wakati wa mvua bila kujali,,,?wangapi humu mnajiona nyie ndil nyie hakuna mwingine? Kila MTU anatamba kwa style YAKE,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamjua Floyd Mayweather vizuri?Hayo mambo ni ya kawaida kwa baadhi ya hao wamarekani wenye asili ya kiafrika wakipata pesa na mafanikio kutokana na hali halisi ya maisha magumu waliyopitia huko awali.
Floyd amepitia maisha magumu sana na yenye changamoto nyingi. Mara nyingi watu wa aina hiyo wakifanikiwa kimaisha huwa wanapenda kutumia nguvu ya pesa kufahamika na kuheshimika.
Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kugongana na jamaa mmoja akiwa na wapambe wake kama 50 hivi katika Club moja maarufu Atl ilikuwa ikiitwa Club 112. Huyo jamaa alikuwa na wapambe kibao na wote walikuwa wakiendesha magari ya bei mbaya sana. Ndani kule VIP section walikuwa wameingia na mabegi ya hela (Duffle bags) zilizojaa pesa. Walikuwa wanarusha pesa chini tulipokuwa tumekaa sisi akina kajamba nani utafikiri wanarusha makaratasi. Ndio kina Wayne walipata ile concept ya Make it Rain kutoka kwa huyo jamaa na kundi lake. Hakuna narudia tena hakuna Baller yoyote US kwa wakati huo aliyemfikia huyo jamaa kwa pesa na matanuzi. Sio kina P.Diddy wala Jay Z. Hao wote walimjua na kumheshimu. Alikuwa anakula bata ya hatari sana.
Huyo jamaa anaitwa Demetrius Flenory aka Big Meech..the Real Big Meech. Na kundi lake lilikuwa linaitwa BMF (Black Mafia Family). Mayweather na mbwembwe zake zote anakalishwa na huyu mkali.
Pitia ytube search BMF au Big Meech uangalie mambo ya huyu Mwamba. Alikuwa sio mtu wa makelele sana ila wapambe ndio ilikuwa shida.
Free Big Meech.
Mjinga ni wewe unaepangia matumizi fedha za watu! Waafrika tuna tabu sanaaAlinikera katika hiyo video. Nikaona hapa ni bure kabisa.....
Hivi angekuja na hata dola milioni moja tu hapa africa akawekeza katika migodi ya dhahabu au almas fala huyu angekuwa katika hali gani.
Yaani mwenye akili ni Akon tu, ambae kachuma mahela kisha karejea Africa kufanya uwekezaji......
Haya ndio mafala yanayotufanya waafrika tuonekane akili hatuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hauna akili hata kidogo.Alinikera katika hiyo video. Nikaona hapa ni bure kabisa.....
Hivi angekuja na hata dola milioni moja tu hapa africa akawekeza katika migodi ya dhahabu au almas fala huyu angekuwa katika hali gani.
Yaani mwenye akili ni Akon tu, ambae kachuma mahela kisha karejea Africa kufanya uwekezaji......
Haya ndio mafala yanayotufanya waafrika tuonekane akili hatuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ambaye sio mshamba tafuta za kwako za Floyd hazikuhusu.Jamaa ana ushamba flani utadhani hizo hela aliziokota tu mahali...kumbe kahustle kuzipata lakini kama hajazizoea hela kabisaa... ushambaa mwingiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kkkkkkkk....kweli MKUUHumu JF wanaringia degree uchwara za Udsm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hata kuchacha kwa Tyson sio kiviile kama kina George Masatu!Usimfananishe Floyd na Tyson.
Floyd anaakili kubwa sana ya utafutaji na akishapata anajua haswa namna ya kuzitumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamjua blackyoungstar?? anapost pesa kwel sio uongo!! alafu izo saa haziuzwi hio bei ikumbukwe pia watu kama huyo ni rahisi sana kuongeza 0 but over of all tuwaachie wenyew na maisha yao mkuu, mtu anapesa kama budget ya mwaka mzim ya tanzania waty did u expect!!!
Pambana mzee babaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe zinakuhusuuu...