princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
The money Team(TMT)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alinikera katika hiyo video. Nikaona hapa ni bure kabisa.....
Hivi angekuja na hata dola milioni moja tu hapa africa akawekeza katika migodi ya dhahabu au almas fala huyu angekuwa katika hali gani.
Yaani mwenye akili ni Akon tu, ambae kachuma mahela kisha karejea Africa kufanya uwekezaji......
Haya ndio mafala yanayotufanya waafrika tuonekane akili hatuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijampangia mtu kutumia pesa zake but The one seems to have money because he just likes to show off but I believe there are people who are investing enough and are just silent[emoji57]
Tatizo ni kwamba tunadandia mambo na hatuyajui, ukitaka kujua kwanini anafanya hivyo kaangalie na 50 cents anapost niniIf you mute the video and just watch bila kusikia chochote you will just think ni muuza saa na kwakuwa watu Wengi hatujui madini na saa za gharama huwezi tofautisha na saa za kichina . So my point is why is he trying so hard to impress us? Kwanini anahisi kwamba dunia haina taarifa kwamba Ana hela? Anarudia rudia Kwanini ataje 18 milioni Kwanini asiache tufanye utafiti tujue wenyewe? Huyu ni mmoja ya watu wanaothibitisha kuwa fedha ni kitu iko chini kabisa ukianza kuorodhesha viashiria vya mafanikio
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo ni kwamba tunadandia mambo na hatuyajui, ukitaka kujua kwanini anafanya hivyo kaangalie na 50 cents anapost nini
Kuna jamaa alipigaga hela akafanya party ya kuuga umaskiniJon watu hawawezi kufanana hata maramoja
Kuna watu hapa wanaweza kuandika hekima kwakuwa tu hawana kitu mfukoni lakini siku wakizikamata utashangaa
.... Pata hela tufahamu tabia yako....!
Jr[emoji769]
Hayo ndo maneno mkuuUkitaka kujua chuki ya mwafrika. Ni pale umeme unapokatika nyumbani kwake.
Hapo atatoka kuangalia kwa jirani kama upo!
Utaskia aah Kumbe umekatika kote!
Tuache wivu! ugali ni mkubwa. tuhimizane kula badala ya kuanza kuangalia nani Kachukua tonge kubwa.
Alinikera katika hiyo video. Nikaona hapa ni bure kabisa.....
Hivi angekuja na hata dola milioni moja tu hapa africa akawekeza katika migodi ya dhahabu au almas fala huyu angekuwa katika hali gani.
Yaani mwenye akili ni Akon tu, ambae kachuma mahela kisha karejea Africa kufanya uwekezaji......
Haya ndio mafala yanayotufanya waafrika tuonekane akili hatuna
Sent using Jamii Forums mobile app