Huyu Floyd Mayweather ni kumuombea afulie tu

If you mute the video and just watch bila kusikia chochote you will just think ni muuza saa na kwakuwa watu Wengi hatujui madini na saa za gharama huwezi tofautisha na saa za kichina . So my point is why is he trying so hard to impress us? Kwanini anahisi kwamba dunia haina taarifa kwamba Ana hela? Anarudia rudia Kwanini ataje 18 milioni Kwanini asiache tufanye utafiti tujue wenyewe? Huyu ni mmoja ya watu wanaothibitisha kuwa fedha ni kitu iko chini kabisa ukianza kuorodhesha viashiria vya mafanikio


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
We mwenye akili mbona bado maskini.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sala za kuombea fulani afulie tunazielekeza Kwa Mungu au Lucifer? Muongozo tafadhali.
 
Aliye kwambia haja invest vya kutosha ni nani? May Money sio mfujaji wa pesa kama wengi wanavyodhani, jamaa ni money maker,
Sijampangia mtu kutumia pesa zake but The one seems to have money because he just likes to show off but I believe there are people who are investing enough and are just silent[emoji57]
 
Tatizo ni kwamba tunadandia mambo na hatuyajui, ukitaka kujua kwanini anafanya hivyo kaangalie na 50 cents anapost nini
 
All I wanted was a new Mercedes
Bending off the corner whipping out the
lot, I got it
Women love me but the niggas hate it
But how can I lose when I came from the
bottom?
Lord knows
Nigga Lord knows, nigga Lord knows,
nigga Lord knows
Nigga Lord knows, nigga Lord knows,
nigga Lord knows


Meek Mill - Lord Knows
 
Tatizo ni kwamba tunadandia mambo na hatuyajui, ukitaka kujua kwanini anafanya hivyo kaangalie na 50 cents anapost nini

Naweza kuwa nimedandia mambo nisiyoyajua ni kweli simply sababu siwazi kama unavyowaza hivyo sina haja ya kuangalia 50 cent anapost nini. Nilichokisema ni mawazo yangu kuhusu video husika za mayweather.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mi jamaa namkubali kinoma...maana anafanya kusudi kuwapa watu hasira za kutafuta pesa...kama unachukia na ww weka video zako
 
Ukitaka kujua chuki ya mwafrika. Ni pale umeme unapokatika nyumbani kwake.
Hapo atatoka kuangalia kwa jirani kama upo!
Utaskia aah Kumbe umekatika kote!

Tuache wivu! ugali ni mkubwa. tuhimizane kula badala ya kuanza kuangalia nani Kachukua tonge kubwa.
 
Jon watu hawawezi kufanana hata maramoja
Kuna watu hapa wanaweza kuandika hekima kwakuwa tu hawana kitu mfukoni lakini siku wakizikamata utashangaa

.... Pata hela tufahamu tabia yako....!

Jr[emoji769]
Kuna jamaa alipigaga hela akafanya party ya kuuga umaskini
Alikuwa shabiki wa simba akajifanya anatoa msaada kwa timu ......alikuwa ana safiri na timu ya taifa Senegal na msumbiji
Hela yenyewe ilikuwa mln 150 ilikuwa vurugu tu ......cha ajabu jamaa nlikuwa namdai kitambo 300000 tokea apate hela mpaka anapigika tena hajawahi nilipaa
Hela hyo hajafikisha hata miezi 7 chalii
Pesa haina adabu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi navoona hana makosa yoyote nyie ni wivu wenu tuu! Nd maana anasema HATE OR GET INSIPIRED sasa nyie ongeen na yeye nd anazidisha sifa, Anaishi anavotaka na sio dunia au nyie member wa jf mnavyotaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya wewe na yeye ni nani anafanya waafrika tuonekane mafala?!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…