Jamaa alisem hela zitakuletea haters or zitakumotovate.. sass nakuona wewe upo kwa hating zaidi hahahahahaha get urs broMzuqa
Yani Mayweather anakera kupita maelezo. Mimi nilishamdelete kwenye Instagram yangu sitaki upuzi. Yani ni limbukeni aliyekubuhu.
A normal sane aged person cant behave like this. This dude is stupid.
Ni kakukaombea tu kafulie hamna namna!
mng'ato baba swalehe Prince Kunta chaliifrancisco Behaviourist Lyamber Viatu vya Samaki Mr Q Zero IQ King Kong III manengelo Sky Eclat monde arabe
I think I'm Big Meech,Larry Hoover!!Hayo mambo ni ya kawaida kwa baadhi ya hao wamarekani wenye asili ya kiafrika wakipata pesa na mafanikio kutokana na hali halisi ya maisha magumu waliyopitia huko awali.
Floyd amepitia maisha magumu sana na yenye changamoto nyingi. Mara nyingi watu wa aina hiyo wakifanikiwa kimaisha huwa wanapenda kutumia nguvu ya pesa kufahamika na kuheshimika.
Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kugongana na jamaa mmoja akiwa na wapambe wake kama 50 hivi katika Club moja maarufu Atl ilikuwa ikiitwa Club 112. Huyo jamaa alikuwa na wapambe kibao na wote walikuwa wakiendesha magari ya bei mbaya sana. Ndani kule VIP section walikuwa wameingia na mabegi ya hela (Duffle bags) zilizojaa pesa. Walikuwa wanarusha pesa chini tulipokuwa tumekaa sisi akina kajamba nani utafikiri wanarusha makaratasi. Ndio kina Wayne walipata ile concept ya Make it Rain kutoka kwa huyo jamaa na kundi lake. Hakuna narudia tena hakuna Baller yoyote US kwa wakati huo aliyemfikia huyo jamaa kwa pesa na matanuzi. Sio kina P.Diddy wala Jay Z. Hao wote walimjua na kumheshimu. Alikuwa anakula bata ya hatari sana.
Huyo jamaa anaitwa Demetrius Flenory aka Big Meech..the Real Big Meech. Na kundi lake lilikuwa linaitwa BMF (Black Mafia Family). Mayweather na mbwembwe zake zote anakalishwa na huyu mkali.
Pitia ytube search BMF au Big Meech uangalie mambo ya huyu Mwamba. Alikuwa sio mtu wa makelele sana ila wapambe ndio ilikuwa shida.
Free Big Meech.
Huyo jamaa muuza ungaHayo mambo ni ya kawaida kwa baadhi ya hao wamarekani wenye asili ya kiafrika wakipata pesa na mafanikio kutokana na hali halisi ya maisha magumu waliyopitia huko awali.
Floyd amepitia maisha magumu sana na yenye changamoto nyingi. Mara nyingi watu wa aina hiyo wakifanikiwa kimaisha huwa wanapenda kutumia nguvu ya pesa kufahamika na kuheshimika.
Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kugongana na jamaa mmoja akiwa na wapambe wake kama 50 hivi katika Club moja maarufu Atl ilikuwa ikiitwa Club 112. Huyo jamaa alikuwa na wapambe kibao na wote walikuwa wakiendesha magari ya bei mbaya sana. Ndani kule VIP section walikuwa wameingia na mabegi ya hela (Duffle bags) zilizojaa pesa. Walikuwa wanarusha pesa chini tulipokuwa tumekaa sisi akina kajamba nani utafikiri wanarusha makaratasi. Ndio kina Wayne walipata ile concept ya Make it Rain kutoka kwa huyo jamaa na kundi lake. Hakuna narudia tena hakuna Baller yoyote US kwa wakati huo aliyemfikia huyo jamaa kwa pesa na matanuzi. Sio kina P.Diddy wala Jay Z. Hao wote walimjua na kumheshimu. Alikuwa anakula bata ya hatari sana.
Huyo jamaa anaitwa Demetrius Flenory aka Big Meech..the Real Big Meech. Na kundi lake lilikuwa linaitwa BMF (Black Mafia Family). Mayweather na mbwembwe zake zote anakalishwa na huyu mkali.
Pitia ytube search BMF au Big Meech uangalie mambo ya huyu Mwamba. Alikuwa sio mtu wa makelele sana ila wapambe ndio ilikuwa shida.
Free Big Meech.
Mzee ngozi nyeusi za ukoo wenu ndio zina kalaana fulani hiviHizi ngozi nyeusi zina kalaana fulani hivi, ila ni zake, mwache afanye anachokitaka, maana wakati anapokea yale.makonde ulingoni wewe hukuwepo!
Hapo ni ulimbukeni wake tu ...mbona kina messi hawajaenda shule but hawana huo uzwazwa na ndio wanatokea Argentina huko .... mbona husen bolt hana hizo mamboKuna clip moja alionekana anasema you either hate or get inspired, alionesha Rolls Royce 7, i call them lucky 7, i got the mayback, maybach or whatevwr you call it, sasa gari 7 za aina moja za kazi gani ni ukosefu wa elimu unawasumbua wamarekani weusi wwnye hela
....Sure mkuu,anataka vijana hasa weusi wawe Inspired naye,wajifunze kupitia yeye,Baba alikuwa mła sembe,na alifugwa jela,lkn kwa changamoto zote alisimama imala na aliamini katika kipaji chake....[emoji123][emoji123][emoji123]hate or get inspired... Hakters watamkandia kwa mengi lakini hajali ni maisha yake na ana hela kuliko sisi wote na wengine mamilioni kwa mamilioni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa alipigaga hela akafanya party ya kuuga umaskini
Alikuwa shabiki wa simba akajifanya anatoa msaada kwa timu ......alikuwa ana safiri na timu ya taifa Senegal na msumbiji
Hela yenyewe ilikuwa mln 150 ilikuwa vurugu tu ......cha ajabu jamaa nlikuwa namdai kitambo 300000 tokea apate hela mpaka anapigika tena hajawahi nilipaa
Hela hyo hajafikisha hata miezi 7 chalii
Pesa haina adabu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Tyson hakuwa na washauri wazuri wa kifedha. Mayweather ana investments nyingi na kwa age yake usitegemee miaka 20 ijayo atakuwa kazimaliza hizo billions. Maana anatumia na still zinaendelea kuingia tu. Ana Casino yake ya malaya, sidhani kama kuna mtu hajui biashara ya malaya inavyolipa marekani!Ana saa moja worth $15,000,000 ina maanisha ni tsh billion 35! Hao wanaomwaga hela kwenye chumba au kontena zile siyo hela halisi its acting ktk song shootings videos, but for Mayweather ni hela halisi, kiukweli hata mimi ananikera watu weusi siyo watoaji sana wa charity kuliko wazungu! Akiendelea hivyo one day atakuwa kama Tyson alikuwa na kila kitu baadaye akawa just another broke black sportsman.
Kumuombea afulie ni kama kuchemsha supu ya mawe. Utamaliza kuni babu! Bora upange mtumba mezani uuze nawewe utapiga hela.Mzuqa
Yani Mayweather anakera kupita maelezo. Mimi nilishamdelete kwenye Instagram yangu sitaki upuzi. Yani ni limbukeni aliyekubuhu.
A normal sane aged person cant behave like this. This dude is stupid.
Ni kakukaombea tu kafulie hamna namna!
mng'ato baba swalehe Prince Kunta chaliifrancisco Behaviourist Lyamber Viatu vya Samaki Mr Q Zero IQ King Kong III manengelo Sky Eclat monde arabe
You got it bruh!I think I'm Big Meech,Larry Hoover!!
Jamaa alikuwa ni distributor mkubwa sana wa hayo makitu mkuu.Huyo jamaa muuza unga
Ahaaa Fala weweHizi ngozi nyeusi zina kalaana fulani hivi, ila ni zake, mwache afanye anachokitaka, maana wakati anapokea yale.makonde ulingoni wewe hukuwepo!
Wale akili zao huwa hazipo sawa, wacha wafanye hizo mbwembwe maana wanakutana na mengi kwenye biashara zao.Jamaa alikuwa ni distributor mkubwa sana wa hayo makitu mkuu.
Tell themKwani KOSA LAKE NN?tuache WIVU...na sisi tupost NDOO ZETU Za maji,,,mbn akina CHIBU wanapost vijisent vya MADAFU mitandaoni na ,,mpo KIMYA?GET HATE or INSPIRE.... mambo kama hayo ndy yanapaswa yakupe HAMASA NA HASIRA ZA MAISHA,,,tutafute pesa wakuu,,,kama ni KUJIONA MATAWI YA JUU,,kila MTU humu ana jiona matawi kwa UPANDE WAKE...wangapi humu mkiwa kwenye VIGARI vyenu MNARUSHIA watu MATOPE na maji machafu wakati wa mvua bila kujali,,,?wangapi humu mnajiona nyie ndil nyie hakuna mwingine? Kila MTU anatamba kwa style YAKE,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba,akina birdman watatu au wanne,ndo wanafikia utajiri wa huyu mpuuziHao watu ndio asili yao mkuu. yan we umeona hio tu! watu umewahi kuona akina birdman mtu anachezea pesa zimejaa contena bloo! au mtu anamwaga kwenye sweeming pesa za kutosha, akina youngblacstar mtu anamwaga pesa chumban akizilalia haonekani blooh sembuse huyo na hizo saa zake na vidolla dollar kadhaaa [emoji1]
Ha ha ha! Nimecheka kwa sauti! A very sincere question