Huyu fundi gari leo ilikuwa nifungwe kwa kuua kwa kukusudia

Mafundi wengi wa Magari Bongo ni wababaishaji PERIOD!
 
🀣🀣🀣🀣🀣 hayo ni majibu ya kutiana wazimu halafu mwishowe watu muonane wabaya..... Kitu kinapita kelele anasema hakijazoea....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hapo fundi anakujibu kirahisi kabisa hata mashaka.

 
Ajali nyingi za barabarani husababishwa na uzembe kama huo. Mtu unaamini umetoka kutatua tatizo, kumbe umeongeza tatizo. Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta.
 
Ushakosa kazi ya mgambo kijana....unamkosaje kumlenga shabaha kizembe hivo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee
 
Mie huwa sitoki hapo hadi gari ipone ka yupo bize namwambia akiwa free anicheki niende ili shuhuli iishe siku hyo hyo huwa hawanipendi hao jamaa
Mimi magonjwa ya kawaida au ku replace parts fundi wangu ameshazoea namuita home anakuja na kijana wake na mimi nakuwa nao mwanzo mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…