incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Future hakai bongo mara nyingi anakuwaga ughaibuni afu ni moja wa watoto wakushure ambao hawategemei njaa za bongo fleva yy huwa anaimba tu kwa sababu amejua nakipaji ukitaka kuprove bata zake mtafte instagram utaona balaa lake maara wapo na tecno miles viwanja mara davido etc kiufupi future ni zaid ya mtoto wa kisure hawezi kuwaabudu akina ruge