incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Kati yake na davido nani wakshua zaidi?Future hakai bongo mara nyingi anakuwaga ughaibuni afu ni moja wa watoto wakushure ambao hawategemei njaa za bongo fleva yy huwa anaimba tu kwa sababu amejua nakipaji ukitaka kuprove bata zake mtafte instagram utaona balaa lake maara wapo na tecno miles viwanja mara davido etc kiufupi future ni zaid ya mtoto wa kisure hawezi kuwaabudu akina ruge
Acha usseng wewe Future...Future hakai bongo mara nyingi anakuwaga ughaibuni afu ni moja wa watoto wakushure ambao hawategemei njaa za bongo fleva yy huwa anaimba tu kwa sababu amejua nakipaji ukitaka kuprove bata zake mtafte instagram utaona balaa lake maara wapo na tecno miles viwanja mara davido etc kiufupi future ni zaid ya mtoto wa kisure hawezi kuwaabudu akina ruge
Kumbe nawe unajua msure anaekubinua kekundu ndo unajua ndie wakisure tu?Acha usseng wewe Future...
Kama ulikuwa unaimba kibinafsi ...ungemuimbia demu wako geto...
Ushua ni mentality za kipumbavu...
Hivi Africa kuna mshua zaidi ya Kriss ....Falii..
!??