mohoziz joseph
Member
- Feb 26, 2013
- 30
- 47
*Ukweli ni kwamba Gambo anaboa, he's too much. Unazuiaje ziara ya kamati ya mipango miji eti kuna waraka unaozuia? Hujui maudhui ya ziara, tumeooteza open spaces 2 Njiro tunataka kwenda kukagua anazuia, je zitarudije? Nani aende? Anazunguka kwenye kata na mitaa na kata alone bila madiwani wala meya tumueleweje? Ni kutaka sifa au uwajibikaji? Anasema anataka kuacha uongozi unaoacha alama, mbona alama anataka kuacha pekee? Si tuache wote? Nani ana uchungu na Arusha btwn us? He is too much, kwa muda mfupi the people are fed up. Kama siasa we are the gangs and he know. Tutatetea hadhi zetu kama madiwani wa jiji kwa gharama yoyote. LABDA ATUMIE POLISI KUDHIBITI. Ushauri wangu aache ubinafsi maana hakuna mwenye shida personal na yeye. Mbona we live better na RC na DC Fadhili aliyeondoka? He is young na tunaheshimu mamlaka yaliyomteua, hakuna linaloshindikana tukikaa na kukubaliana the way to go. ILA LA KUOELEKA GREDA, MAMLAKA YA MAJI NA TANESCO KWENYE MTAA WAKE LIMEMSHUSHA NA AMEDHARAULIKA. Halafu anatupeleka TAKUKURU kisa kuongezea posho ya kikao, JE YEYE TUMPELEKE THE HAGUE KWA KUTUMIA MALI YA UMMA VIBAYA? ANASEMA AMETOA LITA 300 ZA MAFUTA ANADHANI UONGOZI WA JIJI CHINI YA CHADEMA TUNA NJAA HIYO? HIZO KATA ULIZOVUNJA RATIBA YA GREDA HUKO SIO WANANCHI UNAOWAONGOZA? KWA NN HAKUSUBIRI RATIBA YA HUKO MURIET IFIKE?.................Tukiheshimiana, kusikilizana, kutambua mipaka yetu tutaishi kwa amani.