Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Halafu huu uandishi ni mnafanana nae sana.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Sijui ndio we mwenyewe.!Wadau habari zenu.
Twende moja kwa moja kwenye mada. Huyu Gentamycine amekuwa mwandishi mahiri huku JF mwenye hoja motomoto. Lakini pia hatabiriki vizuri na vigumu kumuelewa msimamo wake kwa sasa.
Huyu mimi nafikiri ni jasusi wa TISS, Mwandishi habari makini, au kiongozi serikalini au mtu wa kawaida vijiweni aliyesoma kiasi Fulani na hupenda kujichanganya sana.
Je wewe mwenzangu unamwonaje mtu huyu?
Ni Freed Freed!Wadau habari zenu.