Huyu Gentamycine wa JF ni nani haswa?

Huyu Gentamycine wa JF ni nani haswa?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Wadau habari zenu.

Twende moja kwa moja kwenye mada. Huyu Gentamycine amekuwa mwandishi mahiri huku JF mwenye hoja motomoto. Lakini pia hatabiriki vizuri na vigumu kumuelewa msimamo wake kwa sasa.

Huyu mimi nafikiri ni jasusi wa TISS, Mwandishi habari makini, au kiongozi serikalini au mtu wa kawaida vijiweni aliyesoma kiasi Fulani na hupenda kujichanganya sana.

Je wewe mwenzangu unamwonaje mtu huyu?
 
Halafu huu uandishi ni mnafanana nae sana.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Sijui ndio we mwenyewe.!
 
Wadau habari zenu.

Twende moja kwa moja kwenye mada. Huyu Gentamycine amekuwa mwandishi mahiri huku JF mwenye hoja motomoto. Lakini pia hatabiriki vizuri na vigumu kumuelewa msimamo wake kwa sasa.

Huyu mimi nafikiri ni jasusi wa TISS, Mwandishi habari makini, au kiongozi serikalini au mtu wa kawaida vijiweni aliyesoma kiasi Fulani na hupenda kujichanganya sana.

Je wewe mwenzangu unamwonaje mtu huyu?
Ni Freed Freed!
 
Back
Top Bottom