Huyu Gentamycine wa JF ni nani haswa?

Huyu Gentamycine wa JF ni nani haswa?

Wadau habari zenu.

Twende moja kwa moja kwenye mada. Huyu Gentamycine amekuwa mwandishi mahiri huku JF mwenye hoja motomoto. Lakini pia hatabiriki vizuri na vigumu kumuelewa msimamo wake kwa sasa.

Huyu mimi nafikiri ni jasusi wa TISS, Mwandishi habari makini, au kiongozi serikalini au mtu wa kawaida vijiweni aliyesoma kiasi Fulani na hupenda kujichanganya sana.


Je wewe mwenzangu unamwonaje mtu huyu?
Unaogopa TISS?
 
ni mwandishi wa habari wa E fm zamani alikuwa CMG
 
Back
Top Bottom