Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
-
- #141
Asante mkuuKaribu Mkuu na tupo pamoja daima.
Unaogopa TISS?Wadau habari zenu.
Twende moja kwa moja kwenye mada. Huyu Gentamycine amekuwa mwandishi mahiri huku JF mwenye hoja motomoto. Lakini pia hatabiriki vizuri na vigumu kumuelewa msimamo wake kwa sasa.
Huyu mimi nafikiri ni jasusi wa TISS, Mwandishi habari makini, au kiongozi serikalini au mtu wa kawaida vijiweni aliyesoma kiasi Fulani na hupenda kujichanganya sana.
Je wewe mwenzangu unamwonaje mtu huyu?
...teh hee heeMke uyoo njoo unipikie acha kushinda jamii forum[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hallelujah Mungu aendelee kukubadilisha watashindana lakini hawatashinda
Acha siya za khadija kopaAkhsante na kama kuna ' Tusi ' jingine ulilolibakisha naomba unitukane tafadhali.
Mke uyoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] nnmwwaaa..punguza kuchart mke....teh hee hee
..tatizo lako ulipozaliwa ulitanguliza matako!
.we ndo basi tena,sio riz'ki!
Hahahaa!Tumwalike DJ Sepetu aje amfanyie mahojiano tutapata jibu
AiseeHivi si inawezekana mtu akaunda ID feki (anonymous) kisha akaitumia kuisifu ID yake iliyo maarufu?
Naukubali uandishi wakeKwanini unamuulizia?
Kumbe wa ushuani kabisaMtoto wa oysterbay