GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nan genta awe mo
Nakunya
Hahaha ...Oya mbona unakuwa na Kisununu / Wivu wakati ' Jamaa ' ananitabiria ' Utabiri ' kama wa ' MO ' hapo?
Hahaha ...
Pmj Mo
Joking mkuu wangu
Mkuu sio bange / bangi bali ni wasiwasi.Acha Bange / Bangi Mkuu sawa?
Naingia gym mkuu ...Usijali nami najua tu kuwa ulikuwa ' unatania ' kwani ni maajabu leo hii GENTAMYCINE kuwa ' Tajiri ' wa ' Kutukuka ' kama MO.
ni mwandishi wa habari wa E fm zamani alikuwa CMG
Naingia gym mkuu ...
Uck mwm
Mkuu sio bange / bangi bali ni wasiwasi.
Kuna vidonge vya kuondoa wasi wasi nimetumia muda si mrefu nitakuwa sina "wasi wasi" tena kuwa Mo si Gentamycine.
Naona umeamua kuja na ID nyingine kujifagilia
Gentamycine atakuwa bw. Polepole
Kitambo sana mkuu!Hapa nadhani tuongelee issues na sio persons! Tukimalizana na huyo tutafuata na nani?
Sure mkuuHuyo ni mpiga debe wa Daladala za Mbagala maji matitu to Vingunguti..
Pia ni mnywa kahawa mzuri za magengeni ndio maana kila anachosikia huko analeta humu.