Huyu Geofrey Moses Nauye ni ndugu na Nape Nnauye?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Nimeona kwenye mkeka wa wakurugenzi teuze Mpya na mabadiliko ya watendaji wa halmashauri jina hili la Geofrey Nauye ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Newala sehemu ambayo alikuwepo Anko wangu katolewa kawekwa yeye

Swali langu Je huyu ni ndugu na Nape maana naona majina ya Kati na mwisho yanafanana, ili nimuulize yeye ni nani mpaka wamtoe mjomba wangu wawekwe wao tu ukoo mzima kusini waitawale wao tu
 
Unaona mkia wa mbuzi na bado unauliza??????
 
 
Mbona majina yao tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…