Huyu Geofrey Moses Nauye ni ndugu na Nape Nnauye?

Nimeona kwenye mkeka wa wakurugenzi teuze Mpya na mabadiliko ya watendaji wa halmashauri jina hili la Geofrey Nauye ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Newala sehemu ambayo alikuwepo Anko wangu katolewa kawekwa yeye

Swali langu Je huyu ni ndugu na Nape maana naona majina ya Kati na mwisho yanafanana, ili nimuulize yeye ni nani mpaka wamtoe mjomba wangu wawekwe wao tu ukoo mzima kusini waitawale wao tu View attachment 2648714

Umeuliza jibu
 
Tunajua mna kiherehere sana cha kujifanya mnauliza uliza maswali. Ngoja tuwapatie kinga TITH ili wakiwaueni wasiwe na hofu ya kuja kushitakiwa huko mbeleni.
Hawa TITH ndiyo KK Security na Wagner Group wetu watakao hakikisha tunakula nchi bila ya bughudha.
Hii mikataba na waarabu inaweza ikatuletea shida kama hatujawawekea Kinga ya kutosha watu wa TITH ili watulinde vizuri dhidi ya nyie mnaojifanya kuulizauliza humu
 
Tunajua mna kuherehere sana cha kujifanya mnaulizaukiza maswali. Ngoja tuwapatie kinga TITH ili wakiwaueni wasiwe na hofu ya kuja kushitakiwa huko mbeleni.
Hawa TITH ndiyo KK Security na Wagner Group wetu watakao hakikisha tunakula nchi bila ya bughudha.
Hii mikataba na waarabu inaweza ikatuletea shida kama hatujawawekea Kinga ya kutosha watu wa TITH ili watukinde vizuri dhidi ya nyie mnaojufanya kuulizauliza humu
Sikupingi unalozungumza ila mbona kama umerukia tren kwenye kichwa?
 
Nimeona kwenye mkeka wa wakurugenzi teuze Mpya na mabadiliko ya watendaji wa halmashauri jina hili la Geofrey Nauye ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Newala sehemu ambayo alikuwepo Anko wangu katolewa kawekwa yeye

Swali langu Je huyu ni ndugu na Nape maana naona majina ya Kati na mwisho yanafanana, ili nimuulize yeye ni nani mpaka wamtoe mjomba wangu wawekwe wao tu ukoo mzima kusini waitawale wao tu View attachment 2648714
Naona watu mko nyuma sana ! Mnapoambiwa CCM ina wenyewe muwe mnaelewa jamani !

Sasa ni hivi , Nakusanya vielelezo halafu nitakuja na mkeka wa Watoto wote wa viongozi walio kwenye nafasi mbalimbali za uongozi .

Kama hujalia wewe utakuwa si binadamu
 
Hawa watu hata shetani anawaogopa
 
Nimeona kwenye mkeka wa wakurugenzi teuze Mpya na mabadiliko ya watendaji wa halmashauri jina hili la Geofrey Nauye ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Newala sehemu ambayo alikuwepo Anko wangu katolewa kawekwa yeye

Swali langu Je huyu ni ndugu na Nape maana naona majina ya Kati na mwisho yanafanana, ili nimuulize yeye ni nani mpaka wamtoe mjomba wangu wawekwe wao tu ukoo mzima kusini waitawale wao tu View attachment 2648714
wewe endelea kulitumikia taifa kwa ujira mdogo
 
Nimeona kwenye mkeka wa wakurugenzi teuze Mpya na mabadiliko ya watendaji wa halmashauri jina hili la Geofrey Nauye ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Newala sehemu ambayo alikuwepo Anko wangu katolewa kawekwa yeye

Swali langu Je huyu ni ndugu na Nape maana naona majina ya Kati na mwisho yanafanana, ili nimuulize yeye ni nani mpaka wamtoe mjomba wangu wawekwe wao tu ukoo mzima kusini waitawale wao tu View attachment 2648714
huyu ni kaka mkubwa wa Nape Nauye hahahahhahahahahha
 
Back
Top Bottom