Huyu Geofrey Moses Nauye ni ndugu na Nape Nnauye?

Umeuliza jibu
 
Tunajua mna kiherehere sana cha kujifanya mnauliza uliza maswali. Ngoja tuwapatie kinga TITH ili wakiwaueni wasiwe na hofu ya kuja kushitakiwa huko mbeleni.
Hawa TITH ndiyo KK Security na Wagner Group wetu watakao hakikisha tunakula nchi bila ya bughudha.
Hii mikataba na waarabu inaweza ikatuletea shida kama hatujawawekea Kinga ya kutosha watu wa TITH ili watulinde vizuri dhidi ya nyie mnaojifanya kuulizauliza humu
 
Sikupingi unalozungumza ila mbona kama umerukia tren kwenye kichwa?
 
Naona watu mko nyuma sana ! Mnapoambiwa CCM ina wenyewe muwe mnaelewa jamani !

Sasa ni hivi , Nakusanya vielelezo halafu nitakuja na mkeka wa Watoto wote wa viongozi walio kwenye nafasi mbalimbali za uongozi .

Kama hujalia wewe utakuwa si binadamu
 
Hawa watu hata shetani anawaogopa
 
wewe endelea kulitumikia taifa kwa ujira mdogo
 
huyu ni kaka mkubwa wa Nape Nauye hahahahhahahahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…