Huyu Godfather wa videos anawaibia tu wasanii wa bongo

eti wanasema sio lazima mwana aonekane kwenye video eti, ukihoji kwanini unajibiwa acha kukariri, so inabidi tu tukubaline na style mpya ya kiba, audio story nyingine video story nyingine. kazi kwako mtazamaji

ndio mi nashangaa pale kwenye kioo anamuimbia nani wakati anajiona mwenyewe?..mimi nilipoiona mara ya kwanza nilidhani behind the scene kumbe kitu ndio kimeanza hicho dah!...
 
una uwezo mdogo sana wa kujieleza, alafu ki english si ujanja, kama hujui usikichanganye na kiswahili.
 
Nisher ni best director kwa sasa hapa bongo,acha wakapgwe hela tu huko watanzania ndo zetu kupandisha bei ya vitu wenyewe!
 
Ni ajabu kweli kuona dunia ya leo watu bado wanataka kinachoimbwa kwenye wimbo kiwe sawasawa na matukio ya kwenye video

Huu ni ushamba kukariri hivyo, hebu angalieni na video za wenzetu mbele waliotutangulia mjifunze
This is not a bongo movies guyz
 

Endeleeni kutetea upimbi.
 
any video production production inaaspect 2 yaan artistic and . technical, kwa upande wa technical jamaa kapiga kazi nzuri sana ukianzia na lighting na camera (shots) bt artistic aspect haikuwa nzuri sana maana director ishindwa kuvisualise message ya wimbo, choreograph ilikuwa nzuri sana! ningepewa nafasi ya kuipa max video ya mwana ingepata 75%
 
Ingekuwa kila video lazima zibebe ujumbe wa audio nyingine zingekuwa hazifanyiwi video
 
alikiba alipanic baada ya pressure ya diamond kuwa kubwa ile video haitaji ye kwenda south akat n kuhusu apa dar au hajasoma nn??namshauri atulie afanye kazi nzuri yeye kama yeye na asitake kujilinganisha na diamond kwa sasa
 
eti wanasema sio lazima mwana aonekane kwenye video eti, ukihoji kwanini unajibiwa acha kukariri, so inabidi tu tukubaline na style mpya ya kiba, audio story nyingine video story nyingine. kazi kwako mtazamaji

umeiona video ya Chibu na wale kina bracket wa naija?

anachoimba chibu kinaonekana kwenye video?

si yupo tu kwenye gari!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…