Huyu Golikipa wa Yanga amechukuliwa kwa mkopo au tumelipa cash?


Kitaalam kabisa Urefu wa huyo Golikipa haumfanyi awe ' mnyumbulifu / flexible ' hasa katika upigwaji wa Penati na Yanga kama wataendelea kuwa nae huyu katika mechi ambazo mwishoni zitakuja kuamriwa kwa mikwaju ya Penati basi wajiandae kwa maumivu. Hata ile Penati ya Tshabalala aliicheza tu Kibahati kwani ni ukweli usiopingika kwamba Tshabalala hakuwa na match fitness na hata Kocha Omog alifanya tu stupid gumble kumpanga kama mmoja wa Wapigaji Penati.

Otherwise Kipa Rostad ni mzuri na atawasadia sana Yanga katika michuano ya Ligi na mechi za Kimataifa. Ana umakinini mkubwa sana golini na pengine anaweza akawa msaada mkubwa kwa Makipa wazawa pale hasa Ben Kakolanyi na yule mwingine. Kama Kipa wa Makipa wa Yanga Juma Pondamali ' Mensah ' atamfunza zaidi Rostad hasa katika uokoaji wa michomo ya Penati huenda hili tatizo lake likaisha kwani hata Kipa Wetu Simba Aishi Manula nae si mkali hivyo katika udakaji wa Penati na tusisahau kuwa Penati hazina mjuaji / fundi ila huamriwa na bahati kwa 100%.
 
Acha tarabu zingatia goal keeper wa simba ameona zaidi ya mipira minne na kuto mmoja. Huyu wa yanga mmoja tu ndiyo kauona..!
Angekuwa Manura ameona penati 4 matokeo yasingekuwa 5/4.
Kuona sio kuokoa.
 
Zinaenda juu wapi?
Iliyoenda juu ni penati ya mahadhi.
Hujui mpira. Shabiki tu!
 
Upo sahihi.
Kumbuka ni right footed. Upande mwepesi kwake ni kushoto. Upande wake wa kulia anapeleka miguu ( refer Van de Sar)
Penalty ni advantage kwa mpigaji japokuwa goli huonekana dogo.
 
Mkuu angalia kipa wa chelsea vs arsenal ngao ya hisani halafu uje na uchambuzi wako wa kipumbavu.Hujui mpira wewe
Hawa ni watu wa kuangalia mpira kwenye Tv. Golikipa ni ndani ya dakika 90. Hata hivyo kwenye mechi ya kirafiki na Singida United alipangua penati
 

Mkuu, tafadhali jitafakali maana mpira umekupita pembeni. "Kibonde" huyo huyo alipnagua penati ya Singida United. Juhudi zake kwenye dakika 90 hukuziona ?
 
mkuu Leo nakuona kispoti zaidi sio kishabiki,pale yanga Kuna shida ya upigaji penati muda mrefu Sana refer mashindano yote yaliyoamliwa kwa penati bila kujali tulicheza na nani ,unakuta kipa katoa moja au mbili ILA wapigaji Ss ndo shida,hongereni kwa ushindi mkuu
 
Kuna wakati unakuwa na akili.
 
Kwa hiyo penati nzuri ni zile zinazopigwa chini? Wewe ni mtazamaji siyo shabiki wa mpira. Kwa ujumla hujui lolote kaa kimya tu.

ACHA nikae KIMYA...!
 
alipangua penati lakini. ila hamzidi dida kabisa.
 
Usiongee vitu usivyovijua,unasemaje rostam ni shati,uliangalia vizuri msimu uliopita wakati yupo african lyon,kama una data kaa kimya.
 
Mkuu, tafadhali jitafakali maana mpira umekupita pembeni. "Kibonde" huyo huyo alipnagua penati ya Singida United. Juhudi zake kwenye dakika 90 hukuziona ?
mkuu unabishana na shabiki wa "msimba-dhii!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…