Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Jana Ndo Ilikuwa World Cup?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli nihuyu Kipa ni nyavu iliyochanika chanika hasa upande Wa penati. anahamishwa kirahisi kama furushi LA gunia kwani unaweza kulinyanyua na kulitupa popote utakapo, tofauti na kipa Wa Simba ambaye alionekana kufata Mpira kwa umaridadi kabisa
Nilivyoona anapoteza muda nikajua atakuwa vizuri kwenye penati kumbe boya tu
hakika uongozi wetu Wa Yanga mmetuweza kama kweli mmetoa cash kumsajili huyu kibonde.
Angekuwa Manura ameona penati 4 matokeo yasingekuwa 5/4.Acha tarabu zingatia goal keeper wa simba ameona zaidi ya mipira minne na kuto mmoja. Huyu wa yanga mmoja tu ndiyo kauona..!
Zinaenda juu wapi?Katika upigaji wa penalty Ni ukweli uliowazi Kuwa yanga hakuna wapigaji wazuri wa penalty ukiangalia karibu penalty zote sita zilikuwa zinaenda juu tofauti na wapigaji wa timu ya simba ambao ukitazama vyema katika motion zako walionekana kumhadaa sana kipaji wa yanga na huo ndio ufundi wa upigaji huwezi kumlaumu kipa
Upo sahihi.Kitaalam kabisa Urefu wa huyo Golikipa haumfanyi awe ' mnyumbulifu / flexible ' hasa katika upigwaji wa Penati na Yanga kama wataendelea kuwa nae huyu katika mechi ambazo mwishoni zitakuja kuamriwa kwa mikwaju ya Penati basi wajiandae kwa maumivu. Hata ile Penati ya Tshabalala aliicheza tu Kibahati kwani ni ukweli usiopingika kwamba Tshabalala hakuwa na match fitness na hata Kocha Omog alifanya tu stupid gumble kumpanga kama mmoja wa Wapigaji Penati.
Otherwise Kipa Rostad ni mzuri na atawasadia sana Yanga katika michuano ya Ligi na mechi za Kimataifa. Ana umakinini mkubwa sana golini na pengine anaweza akawa msaada mkubwa kwa Makipa wazawa pale hasa Ben Kakolanyi na yule mwingine. Kama Kipa wa Makipa wa Yanga Juma Pondamali ' Mensah ' atamfunza zaidi Rostad hasa katika uokoaji wa michomo ya Penati huenda hili tatizo lake likaisha kwani hata Kipa Wetu Simba Aishi Manula nae si mkali hivyo katika udakaji wa Penati na tusisahau kuwa Penati hazina mjuaji / fundi ila huamriwa na bahati kwa 100%.
Hawa ni watu wa kuangalia mpira kwenye Tv. Golikipa ni ndani ya dakika 90. Hata hivyo kwenye mechi ya kirafiki na Singida United alipangua penatiMkuu angalia kipa wa chelsea vs arsenal ngao ya hisani halafu uje na uchambuzi wako wa kipumbavu.Hujui mpira wewe
Kwa kweli nihuyu Kipa ni nyavu iliyochanika chanika hasa upande Wa penati. anahamishwa kirahisi kama furushi LA gunia kwani unaweza kulinyanyua na kulitupa popote utakapo, tofauti na kipa Wa Simba ambaye alionekana kufata Mpira kwa umaridadi kabisa
Nilivyoona anapoteza muda nikajua atakuwa vizuri kwenye penati kumbe boya tu
hakika uongozi wetu Wa Yanga mmetuweza kama kweli mmetoa cash kumsajili huyu kibonde.
mkuu Leo nakuona kispoti zaidi sio kishabiki,pale yanga Kuna shida ya upigaji penati muda mrefu Sana refer mashindano yote yaliyoamliwa kwa penati bila kujali tulicheza na nani ,unakuta kipa katoa moja au mbili ILA wapigaji Ss ndo shida,hongereni kwa ushindi mkuuKitaalam kabisa Urefu wa huyo Golikipa haumfanyi awe ' mnyumbulifu / flexible ' hasa katika upigwaji wa Penati na Yanga kama wataendelea kuwa nae huyu katika mechi ambazo mwishoni zitakuja kuamriwa kwa mikwaju ya Penati basi wajiandae kwa maumivu. Hata ile Penati ya Tshabalala aliicheza tu Kibahati kwani ni ukweli usiopingika kwamba Tshabalala hakuwa na match fitness na hata Kocha Omog alifanya tu stupid gumble kumpanga kama mmoja wa Wapigaji Penati.
Otherwise Kipa Rostad ni mzuri na atawasadia sana Yanga katika michuano ya Ligi na mechi za Kimataifa. Ana umakinini mkubwa sana golini na pengine anaweza akawa msaada mkubwa kwa Makipa wazawa pale hasa Ben Kakolanyi na yule mwingine. Kama Kipa wa Makipa wa Yanga Juma Pondamali ' Mensah ' atamfunza zaidi Rostad hasa katika uokoaji wa michomo ya Penati huenda hili tatizo lake likaisha kwani hata Kipa Wetu Simba Aishi Manula nae si mkali hivyo katika udakaji wa Penati na tusisahau kuwa Penati hazina mjuaji / fundi ila huamriwa na bahati kwa 100%.
Kuna wakati unakuwa na akili.Kitaalam kabisa Urefu wa huyo Golikipa haumfanyi awe ' mnyumbulifu / flexible ' hasa katika upigwaji wa Penati na Yanga kama wataendelea kuwa nae huyu katika mechi ambazo mwishoni zitakuja kuamriwa kwa mikwaju ya Penati basi wajiandae kwa maumivu. Hata ile Penati ya Tshabalala aliicheza tu Kibahati kwani ni ukweli usiopingika kwamba Tshabalala hakuwa na match fitness na hata Kocha Omog alifanya tu stupid gumble kumpanga kama mmoja wa Wapigaji Penati.
Otherwise Kipa Rostad ni mzuri na atawasadia sana Yanga katika michuano ya Ligi na mechi za Kimataifa. Ana umakinini mkubwa sana golini na pengine anaweza akawa msaada mkubwa kwa Makipa wazawa pale hasa Ben Kakolanyi na yule mwingine. Kama Kipa wa Makipa wa Yanga Juma Pondamali ' Mensah ' atamfunza zaidi Rostad hasa katika uokoaji wa michomo ya Penati huenda hili tatizo lake likaisha kwani hata Kipa Wetu Simba Aishi Manula nae si mkali hivyo katika udakaji wa Penati na tusisahau kuwa Penati hazina mjuaji / fundi ila huamriwa na bahati kwa 100%.
Kwa hiyo penati nzuri ni zile zinazopigwa chini? Wewe ni mtazamaji siyo shabiki wa mpira. Kwa ujumla hujui lolote kaa kimya tu.Katika upigaji wa penalty Ni ukweli uliowazi Kuwa yanga hakuna wapigaji wazuri wa penalty ukiangalia karibu penalty zote sita zilikuwa zinaenda juu tofauti na wapigaji wa timu ya simba ambao ukitazama vyema katika motion zako walionekana kumhadaa sana kipaji wa yanga na huo ndio ufundi wa upigaji huwezi kumlaumu kipa
Tunamsubiri VPL ianze.
alipangua penati lakini. ila hamzidi dida kabisa.Kwa kweli huyu Kipa ni nyavu iliyochanika chanika hasa upande Wa penati. Anahamishwa kirahisi kama furushi la gunia kwani unaweza kulinyanyua na kulitupa popote utakapo, tofauti na kipa Wa Simba ambaye alionekana kufata Mpira kwa umaridadi kabisa. Nilivyoona anapoteza muda nikajua atakuwa vizuri kwenye penati kumbe boya tu.
Hakika uongozi wetu Wa Yanga mmetuweza kama kweli mmetoa cash kumsajili huyu kibonde.
Huyo ni mbumbumbu fcMbona ameokoa Moja? Laumu wapigaji (Calvin na Mahadhi) .
Manura naye kaokoa moja tu.
Hawa simbakoko wanaviherehere sanaMtoa mada sidhani kama una uhakika wa jinsia yako!
mkuu unabishana na shabiki wa "msimba-dhii!"Mkuu, tafadhali jitafakali maana mpira umekupita pembeni. "Kibonde" huyo huyo alipnagua penati ya Singida United. Juhudi zake kwenye dakika 90 hukuziona ?