Ferdinand Waititu turned himself in together with his chief officer for roads Luka Mwangi Waihenya.
www.businessdailyafrica.com
Jombaa, DPP hakupeana order, alipeana warrant of arrest ambayo kazi ya kuitekeleza ipo kwa DCI, sio Haji. Gavana Waititu alijiabisha mwenyewe alipotoweka baada ya kupewa fursa ya kujiwasilisha mwenyewe. Leo hii ametoka mafichoni na akakamatwa. Baada ya kuona kwamba watamuandama na itakuwa aibu kubwa kwake. Hajakamatwa na DPP, vitengo vya usalama ndio vimemtia mbaroni. Kazi ya DPP sio kukamata washukiwa. Hukumu pia haitatolewa na DPP, mahakama ndio zina jukumu hilo.