rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
Wewe njeree, kesi haisubiriwi kama ugali, akipatikana bail ni haki yake tu, polisi kunatisha chalii yanguHuyu governor mwenye ameamua kujificha badala ya kujiwasilisha kwa polisi sioni kama ni vyema kumpa bail kwani yeye tayari ni flight risk. Yaani kutoweka kwake kumedhibitisha kuwa hastahili kupewa bail.
ati kujipeleka!!Unaongea mambo ya bail na mtuhumiwa hajulikani alipo je kama kajiua? Mbona akili zenu zina matobo hivi? Na kujiwasilisha ndio nini?
NdioUnaelewa kinachojadiliwa? Kwani mleta mada ndio amejitungia hadithi za bail? Mtu akijiua ndio inamaanisha nini, kwamba jua halitatua na shughuli zingine hazitaendelea?
We jamaa bana, eti instant assesment. Unajua qualifications za DPP Noordin Haji? Umesoma C.V. yake? Ulimsikiza alipofanyiwa usaili na kamati ya sheria bungeni? Alafu aliyemteua na waliomfanyia usaili pia sio mazero brain kama wewe. Hebu tueleze kuhusu DPP wenu kada wa chama cha mafisi ambaye aliteuliwa kwasababu ana kadi ya chama na anajua kuimba nyimbo za kumsifia mungu mtu wenu asiyejaribiwaDPP wenu ni Mpumbavu, nilimfanyia instant assessment that day he brought the consignments nikaona hamna mtu pale.
Amekua kifurushi..... Dah!ati kujipeleka!!
Haji namfahamu, jamaa famba kichiziWe jamaa bana, eti instant assesment. Unajua qualifications za DPP Noordin Haji? Umesoma C.V. yake? Ulimsikiza alipofanyiwa usaili na kamati ya sheria bungeni? Alafu aliyemteua na waliomfanyia usaili pia sio mazero brain kama wewe. Hebu tueleze kuhusu DPP wenu kada wa chama cha mafisi ambaye aliteuliwa kwasababu ana kadi ya chama na anajua kuimba nyimbo za kumsifia mungu mtu wenu asiyejaribiwa
Kwa hivyo unataka tuwache kufunga watu rumande. Tuwache mang'ombe zikule pesa yetu tuziangalie tu mtaani zikipita na range rover? No haiwezekani. Wacha watu wakule ugali maharagwe rumande. Halafu wakishasomewa charge sheet, wanaenda kutulia nyumbani miaka miwili. Wakiwa innocent watarudi kaziniHakuna warant of arrest hapo. Ni DPP aliyepeana order akamatwe. Hakuna Korti iliyopeana warrant of arrest. Tatizo la wakenya wengi ni kuwa wanataka kuona washukiwa wanaaibishwa na kulala rumande. Baada ya hapo, kesi mbovu italetwa mbele ya mahakama watu waachiliwe. Kesi ya Kabura imefika wapi? Kesi ya NYS 2 imefika wapi? Kesi ya Ukora ulioendelea Supreme court imefika wapi?
Aah wapi, ikifika kwenye sheria hujui lolote wewe sio kwa comment yako hii ya kipumba. Eti kazi ya katiba ni kum'shape' mtu binafsi ili asifanye kosa. π Alafu kiingereza chenyewe kibovu kupindukia, cha kuunga unga. Tumia kiswahili bana, acha kujiaibisha bure.Ndio
Katiba ya zima moto imeshindwa kumshape mtuhumiwa asifanye kosa? You overeating that pile of nonsense way higher
Ok.Haji namfahamu, jamaa famba kichizi
Zero kubwa.
I know you can't afford it ndio maana kinawauma, come with your president tomorrow.Aah wapi, ikifika kwenye sheria hujui lolote wewe sio kwa comment yako hii ya kipumba. Eti kazi ya katiba ni kum'shape' mtu binafsi ili asifanye kosa. π Alafu kiingereza chenyewe kibovu kupindukia, cha kuunga unga. Tumia kiswahili bana, acha kujiaibisha bure.
Yeah I mean he's the capital zer0
πππππππDuh jikite kwenye kiswahili. Naona Kiingereza kinakutatiza
Jombaa, DPP hakupeana order, alipeana warrant of arrest ambayo kazi ya kuitekeleza ipo kwa DCI, sio Haji. Gavana Waititu alijiabisha mwenyewe alipotoweka baada ya kupewa fursa ya kujiwasilisha mwenyewe. Leo hii ametoka mafichoni na akakamatwa. Baada ya kuona kwamba watamuandama na itakuwa aibu kubwa kwake. Hajakamatwa na DPP, vitengo vya usalama ndio vimemtia mbaroni. Kazi ya DPP sio kukamata washukiwa. Hukumu pia haitatolewa na DPP, mahakama ndio zina jukumu hilo.Hakuna warant of arrest hapo. Ni DPP aliyepeana order akamatwe. Hakuna Korti iliyopeana warrant of arrest. Tatizo la wakenya wengi ni kuwa wanataka kuona washukiwa wanaaibishwa na kulala rumande. Kesi ya Kabura imefika wapi? Kesi ya NYS 2 imefika wapi? Kesi ya Ukora ulioendelea Supreme court imefika wapi?
Warrant of arrest ilitoka wapi? Warant of arrest haipeanwi na DPP inapeanwa na Jaji au Hakimu. Haji alipeana order/directive kuwa Waititu akamatwe. Kwani hizi kamata kamata Friday zilitoka wapi? Si ni tactics za DPP kuwaweka rumande ili kupata public support? Wakenya tunapenda kuhadaiwa sana. Yaani drama kidogo inatufurahisha na kutufanya tuamini kuwa kuna vita dhidi ya ufisadi?Jombaa, DPP hakupeana order, alipeana warrant of arrest ambayo kazi ya kuitekeleza ipo kwa DCI, sio Haji. Gavana Waititu alijiabisha mwenyewe alipotoweka baada ya kupewa fursa ya kujiwasilisha mwenyewe. Leo hii ametoka mafichoni na akakamatwa. Baada ya kuona kwamba watamuandama na itakuwa aibu kubwa kwake. Hajakamatwa na DPP, vitengo vya usalama ndio vimemtia mbaroni. Kazi ya DPP sio kukamata washukiwa. Hukumu pia haitatolewa na DPP, mahakama ndio zina jukumu hilo.Waititu now surrenders to detectives
Ferdinand Waititu turned himself in together with his chief officer for roads Luka Mwangi Waihenya.www.businessdailyafrica.com
The facts state otherwise. EACC ndio wasilisha ushahidi dhidi ya Waititu kwa DPP. DPP naye hakuwa na budi ila kupeana warrant of arrest na warrant of arrest huwa inatiwa saini tu na hakimu. Document yenyewe huwa inafanyiwa drafting na ofisi ya DPP. DPP ndio huwa anapatiana warrant of arrest sio hakimu. Vitengo vya usalama navyo vina'implement' warrant yenyewe. Baada ya hapo mahakama inachukua usukani. Yote yalianza kwa EACC. You are obviously biased where the DPP is concerned. Ndio athari kuu ya kuingiza siasa kwenye masuala muhimu kama haya.Warrant of arrest ilitoka wapi? Warant of arrest haipeanwi na DPP inapeanwa na Jaji au Hakimu. Haji alipeana order/directive kuwa Waititu akamatwe. Kwani hizi kamata kamata Friday zilitoka wapi? Si ni tactics za DPP kuwaweka rumande ili kupata public support? Wakenya tunapenda kuhadaiwa sana. Yaani drama kidogo inatufurahisha na kutufanya tuamini kuwa kuna vita dhidi ya ufisadi?