Ndugu Watanzania wenzangu
Wikiendi imeenda vyama sana.
Embu kwenye kumjua Hutu jamaa wa DP World kwa Tanzania embu naomba atusadie
Nadhani sio mimi pekee nisiyemfahamuu vyema .
Maeneo ya msingi
1.Historia take
2.Tasisi alizowahi kuhudumu
3.na sasa nini Nani chini
Mwisho elimu yake ,kabila lake ,Mbara au Muunguja ,Mpemba