Ethos JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,083 Jun 4, 2017 #1 Hii ni kama Tetesi ndio maana nimeweka jukwaa hili. Kuna mambo mengi sana ya muhimu ila yanaondolewa kwenye mstari na vitu kama hivi Sasa namtafuta aliyeigiza sauti ya KUB Nitaendelea kuwajuza Build Up: Wenu Ethos
Hii ni kama Tetesi ndio maana nimeweka jukwaa hili. Kuna mambo mengi sana ya muhimu ila yanaondolewa kwenye mstari na vitu kama hivi Sasa namtafuta aliyeigiza sauti ya KUB Nitaendelea kuwajuza Build Up: Wenu Ethos
Ethos JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,083 Jun 4, 2017 Thread starter #3 shungurui said: Duh Click to expand... Habari ndio hiyo
Obugwa Izoba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 10,033 Reaction score 10,622 Jun 4, 2017 #4 Hamna kitu yule ni wema tu
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,669 Jun 4, 2017 #7 Analijipua kweli
Ethos JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,083 Jun 4, 2017 Thread starter #8 Dooh[emoji2]
Ethos JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,083 Jun 4, 2017 Thread starter #9 heradius12 said: Analijipua kweli Click to expand... Yani ndio huyo
Pierreeppah JF-Expert Member Joined Feb 2, 2014 Posts 1,563 Reaction score 1,982 Jun 4, 2017 #10 Bongo kuna wasanii wa kila kitu, ilmradi pochi yako iwepo
J jose tajiri JF-Expert Member Joined Dec 22, 2015 Posts 778 Reaction score 181 Jun 4, 2017 #11 Kumbe
RealTzboy Senior Member Joined Jan 3, 2017 Posts 158 Reaction score 201 Jun 4, 2017 #12 INASEMEKANA ALIYEIGIZA SAUTI YA WEMA NDO HUYU RAFIKI YAKE MPOKI
Bry N JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 716 Reaction score 818 Jun 4, 2017 #14 Leteni ubuyu huo yani ile saut live kabisa
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,130 Reaction score 8,362 Jun 4, 2017 #15 Kwahiyo wale waliokuwa wanasema mtu ameigiza wameshaupata ukweli
Ethos JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,083 Jun 4, 2017 Thread starter #16 maka11 said: Leteni ubuyu huo yani ile saut live kabisa Click to expand... Na hii?
Ethos JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,083 Jun 4, 2017 Thread starter #17 kilambalambila said: Hamna kitu yule ni wema tu Click to expand... We Bisha sasa
choikan JF-Expert Member Joined Jun 23, 2016 Posts 369 Reaction score 311 Jun 4, 2017 #18 Duh sijaelewa hapo
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 27,885 Reaction score 76,043 Jun 4, 2017 #19 Ha ha ha haaaaaaaaaa Sie tumesikia tumeburudika na kujua kinachojiri. Mengine tungeni hadi mchoke, au wafungulieni kesi wakajibu mahakani tuone.
Ha ha ha haaaaaaaaaa Sie tumesikia tumeburudika na kujua kinachojiri. Mengine tungeni hadi mchoke, au wafungulieni kesi wakajibu mahakani tuone.