Rishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza.
View attachment 2396584
Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980.
Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960.
Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa Waziri mkuu mwenye asili ya india na wa kwanza kushika madaraka hayo makubwa nchini Uingereza.
Baba yake ni mkenyaRishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza.
View attachment 2396584
Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980.
Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960.
Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa Waziri mkuu mwenye asili ya india na wa kwanza kushika madaraka hayo makubwa nchini Uingereza.
Southampton iko wapi Tanzania?Alizaliwa Tanzania?
Unamanisha nini ana unasaba na Tanzania?
Inawezekana akawa na ndugu Posta
Wazazi wake ni mkenya na Mtanganyika wa Tanzania acha mambo yako ya hovyo kbsaHuyu mhindi, acheni upotoshaji eti ana nasaba ya Tanzania. Watanzania wa kuzaliwa waturutumbi mnawanyima uraia pacha mnajidai huyu mhindi ni ana nasaba ya Tanzania... Kazaliwa Uingereza ni muingereza mwenye asili ya India....period.
Acha Ubishi wewe Wazazi wake wakiume ni Mkenya na Wakike ni Mtanzania wa TanganyikaHuyo jamaa ni Muingereza mwenye asili ya India. Sidhani kama Tanzania inahusika kwa lolote na uraia/asili yake.
Wazazi wake ni Kenya Baba na Mama Ni TanzaniaAlizaliwa Tanzania?
Unamanisha nini ana unasaba na Tanzania?
Inawezekana akawa na ndugu Posta
🤣🤣🤣🤣Huyo jamaa ni Muingereza mwenye asili ya India. Sidhani kama Tanzania inahusika kwa lolote na uraia/asili yake.
Ulishaona mtanzania mhindi??? hao wahamiaji tu, ni sawa na mtu mweusi kujiita ni muingereza hapana ni muafrika tuu. Kwahio huyu ni mhindi na hajazaliwa Tanzania pia. Kwa kifupi haijui hata hio Tanzania ilipo,.Acha Ubishi wewe Wazazi wake wakiume ni Mkenya na Wakike ni Mtanzania wa Tanganyika
Tulivyo wabaguzi itawezekana vipi? Waafrika Ni wabaguzi kishenzi Ni vile tu hatuna uchumi mkubwa duniani tunashindwa kutamba vzr.Hili linawezekana nchi za Afrika?
Kinana na rage ni wasomali,rostam ni mhindi,zambia walikuwa na rais mzungu,hata mimi ni mwarabu na ni diwaniHili linawezekana nchi za Afrika?
Aisee hivi Persians/waajemi hua Ni wahindi?Kinana na rage ni wasomali,rostam ni mhindi,zambia walikuwa na rais mzungu,hata mimi ni mwarabu na ni diwani