Four-Star General
Member
- Nov 18, 2022
- 41
- 115
Hayo sio maneno yangu, ni maneno ya watu wa Simba walivyokuwa wakimpamba beki wao mpya.
Najiuliza baki wa dizaini hii juzi alikuwa wapi?
Najiuliza baki wa dizaini hii juzi alikuwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo hatujaenda kwa🗣️ Mlete Mzungu.....!! In Ahmed Ali's voice. 😃Duuh tupumzisheni basi🤣🤣
Na hapo hatujaenda kwa🗣️ Mlete Mzungu.....!! In Ahmed Ali's voice. 😃
Kwenye hii mechi, sioni kama kuna uwezekano wa wao kushinda. Maana watalazimika kuwapumzisha baadhi ya wachezaji wao muhimu kwa ajili ya mechi ya tarehe 25!Hii wiki ngumu sana kwa hawa jamaa, bahati mbaya kesho Azam watie chumvi kwenye kidonda ... Sijui itakuaje
Huyu hapa Sawadogo kiungo fundi mwenye mikimbio ya Iniesta na hatua za Ngolo KanteDuuh tupumzisheni basi[emoji1787][emoji1787]
Mreteeee Mthunguuuuu
Hata akiweka kikosi kamili bado azam anao uwezo wa kupata ushindiKwenye hii mechi, sioni kama kuna uwezekano wa wao kushinda. Maana watalazimika kuwapumzisha baadhi ya wachezaji wao muhimu kwa ajili ya mechi ya tarehe 25!
Kwa kweli Azam washindwe wenyewe. Na ikitokea Azam ikashinda, tofauti ya pointi kati yake na Yanga itakuwa 9! Dah! Mwaka mgumu sana huu kwa simba.