Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeniitia nini
Kuna jamaa kaniInbox kuwa nikuiteUmeniitia nini
Acha chukiHayo sio maneno yangu, ni maneno ya watu wa Simba walivyokuwa wakimpamba beki wao mpya.
Najiuliza baki wa dizaini hii juzi alikuwa wapi?View attachment 2524145
Huyu mchezaji bado yupo kwenye kikosi cha simba? Dah!! Alipambwa sana wakati anasajiliwa.[emoji1787]View attachment 2524773
Kweli ukiwa yanga akili zinaruka si bora huyo chikwende alicheza akaonekana ila nyinyi mlimfanya kambole msekule.Orodha ni ndefuView attachment 2528267