Huyu hapa beki kisiki wa kuzuia mipira ya juu na chini Mohamed Ouattara

Hii wiki ngumu sana kwa hawa jamaa, bahati mbaya kesho Azam watie chumvi kwenye kidonda ... Sijui itakuaje
Kwenye hii mechi, sioni kama kuna uwezekano wa wao kushinda. Maana watalazimika kuwapumzisha baadhi ya wachezaji wao muhimu kwa ajili ya mechi ya tarehe 25!

Kwa kweli Azam washindwe wenyewe. Na ikitokea Azam ikashinda, tofauti ya pointi kati yake na Yanga itakuwa 9! Dah! Mwaka mgumu sana huu kwa simba.
 
Hata akiweka kikosi kamili bado azam anao uwezo wa kupata ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…