Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Ngoja aje akusikie 😅😅Karibu sana. Lucas ni house girl wangu.
Ngoja aje akusikie 😅😅Karibu sana. Lucas ni house girl wangu.
JamiiCheck chekini kama huyu ni mtanzaniaHongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
View attachment 3451320
Daah anyway 😁😁🤣🤣🤣Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
View attachment 3451320
Hongera ponjoroHongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
View attachment 3451320
Huwa unamtafuna. Huenda huwa humfikishi kileleni ndiyo maana akili yake haiko sawa.Karibu sana. Lucas ni house girl wangu.
Lucas Mwashambwa ameshatolewa mahari na Ridhiwani KikweteHahaha............ngoja nianze kuwa chawa wa Maponjoro, huenda mkanifikiria kwenye ufalme wenu kama ndugu yetu Lucas Mwashambwa 😅
Bora apewe urais kuliko huu upuuzi tulionao sasa hivi, kakitambi ka chibuku kameshuka chini kiaina plus ufupi atatuwakilisha vizuri kwenye mabishano.Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
View attachment 3451320
Tunahitaj fikra za mtu au utajir wake?Sasa maskini unawezaje kuwa mbunge? Hebu kalime mbaazi huko.
Ni chaguo letu sisi ccmAlipendekezwa na wajumbe au ni chaguo la wanamtandao?
Matajiri ndiyo wanahitajikaTunahitaj fikra za mtu au utajir wake?
BhahahahaaBora apewe urais kuliko huu upuuzi tulionao sasa hivi, kakitambi ka chibuku kameshuka chini kiaina plus ufupi atatuwakilisha vizuri kwenye mabishano.View attachment 3451470
Pascal Mayalla naona mmedhamiria kutuletea watu wa maendeleo.Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
View attachment 3451320
Okay okayMe nimekaona hako Ka pisi Ka Gen z Ka upande wake wa kushoto yoyote yale ila akafikirie, wanamatch
Chama cha mapinduzi hakiishiwi watu aiseeeee. People from all walks of life are in there.Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.
Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
View attachment 3451320