Huyu hapa Bilionea aliyepitishwa kugombea Singida Kaskazini

Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona kama mgonjwa huyuu
 
Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.

Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.
View attachment 3451320
Huyu mwamba alishinda mara mbili enzi za magu akamkata,alikua hataki mabilionea MaguπŸ˜†
Mara ya kwanza nyarandu alipoachia jimbo alimshinda monko lakini magu alimkata,mara ya pili 2020 alishinda tena lakin magu akamchukua Ramadhan ighondo
Safari hii wameona aibu kumkata maana kashinda tena kamshinda mpaka mtu wao nyaranduπŸ˜†πŸ˜† pia kachangia pesa nyingi sana kwenye ujenzi CCM mkoa singida mjini paleπŸ˜†πŸ˜†
 
Mwaka huu Ma ponjoro wameutwaa ubunge wengi au nchi inauzwa mdogo mdogo
 
Halafu hilo kuruti hapo pembeni Linampigia na Saluti Waafrika Tumelaaniwa
 
Utaratibu ukoje wa kupiga saluti.naona babu kapiga saluti na kanzu.au alikuwa mgambo enzi zake
 
Aisee!..Ponjoro kweli kweli, swali ni Je! alitokana na wajumbe au?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…