Huyu hapa Bilionea aliyepitishwa kugombea Singida Kaskazini

Hawa ponjoro wanapitaga huko kwa wajinga wenye njaa. Wakiwa bungeni kazi yao ni kuhujumu mienendo yoyote dhidi ya maslahi ya wawekezaji wababaishaji na wanyonyaji wa umma. Ikitakikana sheria ya maslahi kwa umma wanaizima. Pia wanatumika na mabwanyenye kuhonga wabunge.
 
Unaweza usipate picha halisi ya jinsi wazee wetu walivyowapokea wakoloni/wafanyabishara wa utumwa nk mnamo karne iliyopita lakini HII picha inakupa mwangaza kabisa.Picha linakuonyesha namna mwafrika/mtu mweusi akinyimwa elimu anavyoBEHAVE🤣
 
Singidani wote wajinga mpaka mtafute expatriate akawawakilishe?
Huyu wa huku ubungo si angewatendea haki kuliko hilo ponjoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…