Huyu hapa mr bean wa tz

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Anaitwa kinyambe,kwa wafuatiliaji wa bongo comedy watakubaliana nami kuwa huyu jamaa kwa sasa hana mpinzani,hatumii nguvu wala haforce kuchekesha kama kina nanii,ukimwona tu hata kabla hajongea lazma uvunjike mbavu,anaonekana kwenye kipind cha vituko show cha channel ten
 
Ha ha ha!!! Jamaa wakati wote anaigiza kama hamnazo. Huwa namkubali jamaa na staili yake ya uigizaji.
 
Yaan ukiina nimechange channel jua jamaa kaonekana ,mm kama mm cmkubali for real kabisaaaaaa
 
huyu ndio ushuzi kabisa bean ni mutu ingine kabisa...
 
comedy anazozifanya huyu bwana hapo ni zakitoto sana..uwezi usithubutu hata tu kumtolea mfano huyu bwana na mr bean.
sikuizi hatufanyi comedy za kubana sauti au kujizungusha macho.. tunataka comedy classic kama wanazofanya akina travor noah au chriss rock..classic comedies kama wanazofanya "just for laugh gags" hawana mazungumzo ila utawaelewa tu by their actions.na hawafanyi comedy za kitoto kama izo
 
ama kweli uzuri wa kitu utofautiana, kama kuna mchekeshaji ninayemuona anatumia nguvu na hanichekeshi na uwa ikifika sehemu anayoigiza nachange channel ni huyu.
Kajiharibu yani mimi hanichekeshi uwa ananikera.
Mimi kwenye vituko show nampenda yule dada anayeigiza kama wachaga anapenda sana pesa ndiye namkubari kuliko wote
 
Mi namkubali sana huyu jamaa cdhan kama anatumia nguvu ktk kuchekesha kama walivyochangia wachangiaji wengine, mimi huwa nachange channel nisipomuona huyu jamaa kwenye kipindi cha vituko show, kiukweli jamaa anaweza!
 
Ni kweli ndugu yangu, Jamaa yuko fiti. Na jinsi anavyo tengeneza umbo lake la kuchekesha, sio Mchezo. Niliipenda sana Pale alipoingizwa mjini kwa kulipia hela sanamu za Twiga na Kuambiwa kua yupo Ngorongoro.
 
namkubali yuko juu munooooooooooooooooooooooooo!!!!
 
Me kwenye kundi hilo namkubali KIDOGO na ERICK hao ndo wananiweka kwenye tv
 
Kwangu hamna kitu hapo

ukichanganya shida zako za maisha wakati unaangalia comedy hata mr bean utamuona hamna kitu ila huyu kinyambe ni nyoko kibongobonggo we siku muangalie wakati wallet limetuna,hudaiwi wala husumbuliwi na maradhi na mapenzi hayakutesi ndo utajua jamaa anajua!
 
Labda. Mi nilidhani mchekeshaji mzuri haijalishi una shida au wallet imejaa ye ni kunichekesha tu... Huyu wa kucheka hadi niwe na hela hamna kitu
 
mie ananichekesha asivojua kuchekesha uku yeye anaona anachekesha......
 
Me simkubali kwakweli,hivi huyu ni mchekeshaji au chizi?Me nilikuwa najua ni chizi,sikujua kama kuna watu anawachekesha
 
sijaona comedian bongo, just a bunch of mere copy cats and wannabes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…