heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Anaitwa kinyambe,kwa wafuatiliaji wa bongo comedy watakubaliana nami kuwa huyu jamaa kwa sasa hana mpinzani,hatumii nguvu wala haforce kuchekesha kama kina nanii,ukimwona tu hata kabla hajongea lazma uvunjike mbavu,anaonekana kwenye kipind cha vituko show cha channel ten