Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Kumfananisha huyo kijana na Mr.Bean ni Dhambi
Wachekeshaji woote kiboko yao King Majuto.
Labda nitoe list yangu ya ninao wahusudu katika Vichekesho
1.King Majuto
2.Mboto
3.Mau
4.Mpoki
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
kweli mkuu hii list yako imekaa vizuri,namkubali sana Mboto.
mi namkubali. muangalie kwenye movie ya mikikimikiki au kasheshe ndo utamjua kinyambe. mia
Usiseme hayo mbele ya Hafidh Chande...
Yaan ukiina nimechange channel jua jamaa kaonekana ,mm kama mm cmkubali for real kabisaaaaaa
Nawakubali hao plus masele,joti,shabani wa comedy ya ch5 na ------Kumfananisha huyo kijana na Mr.Bean ni Dhambi Wachekeshaji woote kiboko yao King Majuto.Labda nitoe list yangu ya ninao wahusudu katika Vichekesho1.King Majuto2.Mboto3.Mau4.MpokiSent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mawazo ya ndio ujinga wa mtu,kwenu cku hz wanaume wanashika mimba?!vp ww ushazaa watt wangap maana una ujuz na mimba changaNdio mimba changa zilivyo, ikifika miezi mitano hiyo hali ya kuchukia vitu wanavyopenda wenzio itakwisha....
We acha masihara we !watu wanaburudika pale mambo yanaposomeka vizuri tumboni na mfukoni tu,we siku mi sina kitu halafu njoo uniletee vioja ati unanichekesha uone kama sijakutoa roho!Labda. Mi nilidhani mchekeshaji mzuri haijalishi una shida au wallet imejaa ye ni kunichekesha tu... Huyu wa kucheka hadi niwe na hela hamna kitu
Mawazo ya ndio ujinga wa mtu,kwenu cku hz wanaume wanashika mimba?!vp ww ushazaa watt wangap maana una ujuz na mimba changa
Nawakubali hao plus masele,joti,shabani wa comedy ya ch5 na ------
kweli mkuu hii list yako imekaa vizuri,namkubali sana mboto.
Wifi yako ni mkunga hospiatali moja ya binafsi, mawazo yako ndio majinga kwa kuwa unajua wazi kuwa JF haitaji jinsia ya mtu. Ila fo sho tabia ya kuchukia vitu wanavyopenda wenzio ni ya wamama wenye mimba changa, kama unabisha jitie dole.
Shabani yupi Mkuu
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums