Huyu hapa mr bean wa tz

Huyu hapa mr bean wa tz

Huyu jamaa baada ya muda atakuwa kengeza na hamnazo maana hadi kujibadili hivyo si kazi ndogo. Yuko yule mma! Nadhani huyo yuko natura zaidi kivichekesho
 
heaven on desert hongera kwa kupata ajira nyingine, sasa hivi utakuwa una mshiko wa ukweli. Baada ya kuonekana unatoa promo nzuri kwa diamond huyu nae amekuklubali na kukuajiri duhh uko juu
 
Last edited by a moderator:
Kumfananisha huyo kijana na Mr.Bean ni Dhambi

Wachekeshaji woote kiboko yao King Majuto.

Labda nitoe list yangu ya ninao wahusudu katika Vichekesho

1.King Majuto
2.Mboto
3.Mau
4.Mpoki

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kweli mkuu hii list yako imekaa vizuri,namkubali sana Mboto.
 
mi namkubali. muangalie kwenye movie ya mikikimikiki au kasheshe ndo utamjua kinyambe. mia
 
mi namkubali. muangalie kwenye movie ya mikikimikiki au kasheshe ndo utamjua kinyambe. mia

duh mkuu bongo kuna movie kumbe!?najaribu kuvuta picha hayo majina nikimaliza kuziangalia izo movie ntakavokuwa na hasira..
 
Yaan ukiina nimechange channel jua jamaa kaonekana ,mm kama mm cmkubali for real kabisaaaaaa

Ndio mimba changa zilivyo, ikifika miezi mitano hiyo hali ya kuchukia vitu wanavyopenda wenzio itakwisha....
 
mimi na familia yangu wote twamchukia,bora hata Enjo mchaga!!
 
Kumfananisha huyo kijana na Mr.Bean ni Dhambi Wachekeshaji woote kiboko yao King Majuto.Labda nitoe list yangu ya ninao wahusudu katika Vichekesho1.King Majuto2.Mboto3.Mau4.MpokiSent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Nawakubali hao plus masele,joti,shabani wa comedy ya ch5 na ------
 
Ndio mimba changa zilivyo, ikifika miezi mitano hiyo hali ya kuchukia vitu wanavyopenda wenzio itakwisha....
Mawazo ya ndio ujinga wa mtu,kwenu cku hz wanaume wanashika mimba?!vp ww ushazaa watt wangap maana una ujuz na mimba changa
 
Labda. Mi nilidhani mchekeshaji mzuri haijalishi una shida au wallet imejaa ye ni kunichekesha tu... Huyu wa kucheka hadi niwe na hela hamna kitu
We acha masihara we !watu wanaburudika pale mambo yanaposomeka vizuri tumboni na mfukoni tu,we siku mi sina kitu halafu njoo uniletee vioja ati unanichekesha uone kama sijakutoa roho!
 
Mawazo ya ndio ujinga wa mtu,kwenu cku hz wanaume wanashika mimba?!vp ww ushazaa watt wangap maana una ujuz na mimba changa

Wifi yako ni mkunga hospiatali moja ya binafsi, mawazo yako ndio majinga kwa kuwa unajua wazi kuwa JF haitaji jinsia ya mtu. Ila fo sho tabia ya kuchukia vitu wanavyopenda wenzio ni ya wamama wenye mimba changa, kama unabisha jitie dole.
 
Kwahiyo kama haitaj jnsia mwenye kuchukia kitu bac anamimba changa!!!inamaana profile pic pia huon au sababu mama yako anavaa suruali basi kila anayevaa unamuona mwanamke!?acha kukurupuka ukijibu comment za wanaume au kwa kua wanakutumia unadhani woote tabia yetu moja tuko tofaut kama mm ctumii huduma za wanaume wenzangu kama vp jaribu kwa wengine
 
Back
Top Bottom