Huyu hapa mr bean wa tz

Kama umeweka picha ya mumeo mimi nitajuaje? Halafu mshua boi nina macho mabovu huwa sioni vipicha vidogo...

Kuhusu kutumiwa usiwaze, kuna wenzio wamejengewa nyumba kwa ajili ya kutoa pembejeo.
 
Kama umeweka picha ya mumeo mimi nitajuaje? Halafu mshua boi nina macho mabovu huwa sioni vipicha vidogo...

Kuhusu kutumiwa usiwaze, kuna wenzio wamejengewa nyumba kwa ajili ya kutoa pembejeo.

.......Vipi wakuu ! Ni waandalie mpambano ? ....mimi ni promotor niliyesajiliwa !
 
.......Vipi wakuu ! Ni waandalie mpambano ? ....mimi ni promotor niliyesajiliwa !

Pambano na mtoto wa kike siwezi, hata vitabu vya dini vimekataza kugombana na viumbe hawa dhaifu...
 
Katika wachekeshaji wanaonichefua huyu ni mmoja wao
 
:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…