Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
- Thread starter
-
- #61
Kwaiyo mkuu wewe si unaamini Mungu anakulinda kajitupe gorofani tuone Mungu yupo anatulinda ila lazima na wewe ujilindehiv anayefanya hiv anaamin kweli km kuna mungu
Thank you, panga siku
hizo sio mila ni uchawi..hata kipofu anaonaKuna watu humu saa hzi wanazikataa hizi mila za asili yao
mimi co mkuu plz..am prety.....co kujilinda ki uchawi na mihirizi kibao..mbingu huwez iona kwa namna hyoKwaiyo mkuu wewe si unaamini Mungu anakulinda kajitupe gorofani tuone Mungu yupo anatulinda ila lazima na wewe ujilinde
Sawa hiyo sio guarantee ya wewe kubunja sheriaMimi ndio boss bila mimi kuwa jamii forum aina maana tena
Twende pm mbityafu we naye unanitibua hapa nimetoka achika nna maumiv navunga tu!..nimetemwa!
Nikivunja sheria niambiwe siyo kufuta tuSawa hiyo sio guarantee ya wewe kubunja sheria
Wewe ni 0.000001:1 ...... mkuu
Ya kibibi bibiHiyo mkono iliyomshika huyo mtoto![emoji3][emoji3]
niombee msamaha...kwanzaTwende pm mbity
Huo wa kujilinda tu wala simzuru mtu sasa hapo niache aje kuona mbingumimi co mkuu plz..am prety.....co kujilinda ki uchawi na mihirizi kibao..mbingu huwez iona kwa namna hyo
Mikono ya demissHiyo mkono iliyomshika huyo mtoto![emoji3][emoji3]
Niko pm nakungojeaniombee msamaha...kwanza
nipo ....!Niko pm nakungojea
Hii ya kukanyagwa kitovu na mjomba ni serious au masihara?
Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!
Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.
Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.
ha ha ha hiyo ya mjomba kukanyaga kitovu kwa kisigino haina tofauti na kuvaa hirizi.Hii ya kukanyagwa kitovu na mjomba ni serious au masihara?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Isije kuwa ni mtoto wa yule mvaa hirizi mashuhuri nchini.